Kumbe mna chuki zenu?Unataka asiende huko kisa nn acha chuki za kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mna chuki zenu?Unataka asiende huko kisa nn acha chuki za kike
Bandari inauzwa au haiuzwi?Hawa majamaa YANA uwezo mzuri wa kushawishi watu Wawe na chuki na BAADA ya kuwapandikiza chuki hizo wananufaika wao binafsi HATARI ni kwamba wakimaliza kuwafitini mahasimu wao kitakachofuata wataanza kufitiana wao kwa wao dhambi ya fitina haijawahi kumuacha mtu salama Bwege na Lema waliwahi kusema mambo haya.
Nimesikia huyu mazeli ni msa.....jiRais huyu ana ajenda mbili kichwani mwake, Udini na Uzanzibari. Huenda ikawa ndio chanzo cha anguko kuu linalokuja
"Ga"?Nimesikia huyu mazeli ni msa.....ji
.Tangu aingie madarakani safari za uarabuni haziishi
Yaani mtu MMOJA anyanyuke aende Uarabuni akasaini kwa sababu zake halafu eti watu waandamane!!!Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa.
Gazeti la Mwananchi
Eltwege amekuwa mshabiki wa Sumu ya Nyigu A.k.a Mdude?Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa.
“Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti 28, lakini tumewapa msimamo wetu kuwa haturudi tena hadi kesi itakapokuwa tayari twende mahakamani, pili tumemwambia RCO hana mamlaka ya kutuzuia kusafiri kwani ni kinyume na sheria na katiba,”
“Hili jambo lililotukuta ilikuwa ni njama za kukutisha kuturudisha nyuma, tuko tayari kwa lolote katika kuipigania nchi, tupo kwenye mazungumzo na Dk Wilbroad Slaa kupanga maandamano kuanzia nje ya nchi,”
“Wale diaspora waliopo nje ya nchi wote watafanya maandamano yasiyo na kikomo zilipo Falme za Kiarabu popote wakati tukijiandaa na ya hapa ndani, kama serikali itasitisha mkataba huu wa DP World tutaachana nalo,” amesema Mdude.
Kwa upande wake Mwabukusi amesema tangu kukamatwa hadi kuachiwa ilikuwa ni kinyume na sheria kwani hata mawakili wao hawakuwashirikisha katika suala la dhamana.
“Kwanza nafikiria kushauri wakili wetu aandike barua kujiondoa kwa sababu hakuna kesi yoyote tumepewa, hata dhamana hatukushirikishwa, hata wanaoshauri nihame nchi sikubali, wa kuhama ni wale DP World,” amesema Mwabukusi.
Gazeti la Mwananchi
Kaifungua vibaya.Yaani mtu MMOJA anyanyuke aende Uarabuni akasaini kwa sababu zake halafu eti watu waandamane!!!
Kwani aliitwa aende Uarabuni??
Si ndo mlisema anafungua inji maana ilikuwa imefungwa!!!
Wewe uko nyuma ya keyboard yako umetulia tuliii [emoji3][emoji3]Kila la heri kwao katika mapambano ya kuikomboa nchi kutoka kwa wakoloni weusi.
Una uhakika wa asilimia ngapi kama harakati zangu za kudai haki zinaishia nyuma ya hiyo keyboard pekee?Wewe uko nyuma ya keyboard yako umetulia tuliii [emoji3][emoji3]
Punguani ni wewe ajuza usiyejiheshimu.Nawashauri hao mapunguani wawaambie na kanisankatoliki liwasaidie kuandamana dunia nzima.
10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
HahahhaSumu ya Nyigu.
Mdude Nyagali
Alaf kweli atishwe na Nnauye.!
"Nnauye" maana yake "una habari gani"
Nnauye mwejo.