Mdude Nyagali: Tutawataka Watanzania walio nje ya nchi kuandamana zilipo balozi za Falme za Kiarabu duniani

Hawa majamaa YANA uwezo mzuri wa kushawishi watu Wawe na chuki na BAADA ya kuwapandikiza chuki hizo wananufaika wao binafsi HATARI ni kwamba wakimaliza kuwafitini mahasimu wao kitakachofuata wataanza kufitiana wao kwa wao dhambi ya fitina haijawahi kumuacha mtu salama Bwege na Lema waliwahi kusema mambo haya.
 
Bandari inauzwa au haiuzwi?
 
Yaani mtu MMOJA anyanyuke aende Uarabuni akasaini kwa sababu zake halafu eti watu waandamane!!!
Kwani aliitwa aende Uarabuni??
Si ndo mlisema anafungua inji maana ilikuwa imefungwa!!!
 
Eltwege amekuwa mshabiki wa Sumu ya Nyigu A.k.a Mdude?
 
Yaani mtu MMOJA anyanyuke aende Uarabuni akasaini kwa sababu zake halafu eti watu waandamane!!!
Kwani aliitwa aende Uarabuni??
Si ndo mlisema anafungua inji maana ilikuwa imefungwa!!!
Kaifungua vibaya.
 
Nawashauri hao mapunguani wawaambie na kanisa katoliki liwasaidie kuandamana dunia nzima.

10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
 
Wewe uko nyuma ya keyboard yako umetulia tuliii [emoji3][emoji3]
Una uhakika wa asilimia ngapi kama harakati zangu za kudai haki zinaishia nyuma ya hiyo keyboard pekee?

Au unataka kusema unanifahamu zaidi ya mimi mwenyewe ninavyo jifahamu? Au ndiyo tunaishi tu kwa kukariri maisha!
 
Sumu ya Nyigu.
Mdude Nyagali
Alaf kweli atishwe na Nnauye.!

"Nnauye" maana yake "una habari gani"
Nnauye mwejo.
 
Nawashauri hao mapunguani wawaambie na kanisankatoliki liwasaidie kuandamana dunia nzima.

10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
Punguani ni wewe ajuza usiyejiheshimu.
 
Paul Makonda ndani ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…