Mdude Nyagali: Uchaguzi wa CHADEMA 2019 enzi za Magufuli Polisi hawakusogelea hata kidogo alituruhusu tufanye Uchaguzi Kwa Haki!

Mdude Nyagali: Uchaguzi wa CHADEMA 2019 enzi za Magufuli Polisi hawakusogelea hata kidogo alituruhusu tufanye Uchaguzi Kwa Haki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiongozi mwandamizi wa Chadema Mh Mdude Nyagali ameshangaa vikosi Vya polisi kujazana Kwenye Mkutano wao Mlimani City

Mdude anasema 2019 shujaa Magufuli aliwaacha Wajichague Kwa Amani na Haki

Ni Ukurasani X ndiko Mdude Nyagali yuko anaomboleza na kulia RIP Magufuli 🌹
 
Wahamie CHAUMA huko hakuna Ulinzi wa Polisi, bali ni ubwabwa tu na mambo yanaenda!
 
Acha uzishi weka picha
1737395116662.png
 
Mwananyamala Kwa Mama Zakaria usiku huu office za Chadema zinapakwa rangi za bendera ya CHAUMA

Sikujua Watu wako serious aisee😂
Safari njema. Lkn alieweza siasa hizo ni maalim seif. Lissu akishindwa siku 2 huyu Ubelgiji anawaacha solemba
 
Tunaambiwa vyama vya siasa ni taasisi ya umma siyo mali au saccos ya mtu , hivyo dola ina maslahi mapana katika hili.
 
Kwa purukushani zilizokwisha onekana kwenye uchaguzi wa BAVICHA,ni muhimu polisi wawepo!

Huu uchaguzi ni wa kihistoria!
 
Back
Top Bottom