Mdude Nyagali: Uchaguzi wa CHADEMA 2019 enzi za Magufuli Polisi hawakusogelea hata kidogo alituruhusu tufanye Uchaguzi Kwa Haki!

Mdude Nyagali: Uchaguzi wa CHADEMA 2019 enzi za Magufuli Polisi hawakusogelea hata kidogo alituruhusu tufanye Uchaguzi Kwa Haki!

1737396494643.jpeg
 
Sasa police wataachaje kujaa kama mnapigana ngumi kuanzia uchaguz wa wazee vijana na wanawake...
Mnataka kesho ktk uchaguz wa uenyekit mbowe akishinda mfanye vurugu...
Nyumbu nyie police wapo na watawashughulikia kwa mkunja ngumi yeyote atakaye jaribu kufanya vurugu
 
Kiongozi mwandamizi wa Chadema Mh Mdude Nyagali ameshangaa vikosi Vya polisi kujazana Kwenye Mkutano wao Mlimani City

Mdude anasema 2019 shujaa Magufuli aliwaacha Wajichague Kwa Amani na Haki

Ni Ukurasani X ndiko Mdude Nyagali yuko anaomboleza na kulia RIP Magufuli [emoji257]

Muulize Lema alipoalika vijana waje kufanya fuko alitegemea nini?!
We pata kitambulisho na makabrasha kama ni mjumbe kesho kapige kura.
 
Kiongozi mwandamizi wa Chadema Mh Mdude Nyagali ameshangaa vikosi Vya polisi kujazana Kwenye Mkutano wao Mlimani City

Mdude anasema 2019 shujaa Magufuli aliwaacha Wajichague Kwa Amani na Haki

Ni Ukurasani X ndiko Mdude Nyagali yuko anaomboleza na kulia RIP Magufuli 🌹
Hahahahaaaa

Bado hamjasema
 
Back
Top Bottom