Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

Kamanda ukishaandika hapa jf maana yake ujumbe umefika dunia nzima , Mdude amekwisakusoma
 
who thell is mdude chagademo?
tunataka jina halisi!

haya ndio makosa mnayoyafanya kwenye ujazaji fomu,halafu mkienguliwa mnalalama all over the world?

huwezi sema mdude chadema anagombea uenyekiti chadema,badala ya kuanza na jina lake halisi kisha ndio hii ' also known as..)
hakika chadema hamjitambui kwa kiasi kikubwa.

Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Nadhani ni mwenyekiti BAVICHA na sio mwenyekiti wa chama taifa.
 
Picha yako haihusiani na mada yetu
 
Hebu toka kule. Nawewe siku hizi umekuwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa.
Kweli vituko kweli.
Huyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema, kwanza hayuko sawa kisaikolojia.

Mwenyekiti anafaa kuwa mtu mwenye subira, busara na uvumilivu sio mropokaji kama huyo.
 
Kamanda ukishaandika hapa jf maana yake ujumbe umefika dunia nzima , Mdude amekwisakusoma
Mkuu kwa uzoefu nilio nao naiona hatari ya kuwa na "kamanda" mkali kiwango cha Mdude katika nafasi ya kitaifa.
Mafanikio ya Mbowe kama mwenyekiti wa Chadema yalitokana na pamoja na uvumilivu wake, ukali kiasi na kujitoa lakini ni kuwa na uwezo wa kuchunga kauli zake hasa katika kipindi ambacho munkari ili kukwepesha mtafaruku.
CCM wanapaswa kushukuru sana uwezo wa Mbowe maana bila hivyo pengine hata vita ingekuwa imetokea.
Tunahitaji kina Mdude wengi tuu, lakini sio wawe wenyeviti wa Bavicha kwani huo moto hakutakuwa na wakuuzima
 
nimekuelewa kamanda
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.

And who says this?

A keyboard social justice warrior!
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Mwenyekiti BAVICHA na sii CHADEMA
 
..Mdude siyo muoga.

..hiyo ni sifa nzuri kwani nafasi anayogombea inataka mtu imara.

..huyu kijana akishashinda anatakiwa apewe sekretariat nzuri yenye wasomi weledi watakaomsaidia ktk kupangilia na kuwasilisha hoja zake.

..tatizo kubwa ninaloliona kwa cdm ni kutokuwa na timu ya wataalamu wanaowasaidia viongozi na wabunge wao.

..kwa mfano, Je mwenyekiti Mbowe ana speech writer, na washauri wa masuala ya uchumi, kijamii, na kisiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…