Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kagombea uenyekiti uvccm?Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
Title ya post is very clear...mwenyekiti wa bavicha taifa, mbona mnacomment kinyume na habari yenyewe?Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
Title ya post is very clear...mwenyekiti wa bavicha taifa, mbona mnacomment kinyume na habari yenyewe?Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
Huyu unayemtukana hapa ni ofisa wa chama kanda ya Nyasa , kama mlitaka siasa za kistaarabu kwanini Heri James hamumuonyi , Bashiru uchafu anaouropoka kule Zanzibar ndio ustaarabu ule ?
Amesema uenyekiti BAVICHA nasiio CHADEMA!Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Erthrocyte!Picha yako haihusiani na mada yetu
Ni nafasi ya Mwenyekiti BAVICHA. Siyo Mwenyekiti wa Chama Taifa.Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
Awamu hii haitaki mwenye busara inatakiwa mwana harakati Wa amsha amsha ndo atakwenda sawa na jiwe.Jiwe na nyundo uendana ili wakagawane vizuri vyumba the hague.Siasa za mbowe zafaa kama awamu za kina jk.Yatakiwa siasa kama za kupambana na makaburu.Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Mdude Ana hasira na wasiojulikana sawa nyati aliyejeruhiwa kwa risasi hivo atamsaka mwenye risasi alipize.Mimi binafsi nampenda sana Mdude Nyangali kwa uthubutu wake na kutokuwa muoga. Lakini kupewa udereva wa BAVICHA TAIFA hapana. Hicho cheo inataka watu kama alivyokuwa Heche. Mtu makini lakini sio mwoga, mwenye kuchuja maneno ayasemayo.
Kuongoza chama sio kila wakati ni vita tuu Bali kuna wakati wa kuwa soft kidogo na kujadiliana.
Mdude nafasi kuu ya maamuzi bado hajaweza kuruhusiwa kuipewa, labda zingine kama makamu, katibu wa uenezi nk nk ambazo anaweza kudhibitiwa.
Sina namna ya kuwasiliana naye ningeweza kumshauri vinginevyo. Maana watu aina ya Mdude naye akikosa nafasi hiyo anaweza tena kujikuta kageuka sumu kwa chama chake.
Mdude kama utasoma ujumbe huu ACHANA NA UENYEKITI utumikie chama kwa njia zingine.
@GuDume nafasi iliyomaanishwa kwamba anagombea Huyo mtajwa ni Uenyekiti Wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Na si Uenyekiti wa Chama cha CHADEMA.Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
Namuunga Mkono 100%View attachment 1276259
Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu .
Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
Ben saanane alikuwa msaidizi wa Mbowe kwenye risala pamoja na mambo ya kiuchumi. Hadi anapotea alikuwa personal assistant wa Mbowe..Mdude siyo muoga.
..hiyo ni sifa nzuri kwani nafasi anayogombea inataka mtu imara.
..huyu kijana akishashinda anatakiwa apewe sekretariat nzuri yenye wasomi weledi watakaomsaidia ktk kupangilia na kuwasilisha hoja zake.
..tatizo kubwa ninaloliona kwa cdm ni kutokuwa na timu ya wataalamu wanaowasaidia viongozi na wabunge wao.
..kwa mfano, Je mwenyekiti Mbowe ana speech writer, na washauri wa masuala ya uchumi, kijamii, na kisiasa?
Yeye hakuchangiwa na kuchukuliwa fomu? Basi hafai!!View attachment 1276259
Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu .
Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .