Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

Mdude uko juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,kama ukipigwa sio sababu ya kuacha kupambana...
 
Kwani kagombea uenyekiti uvccm?
 
Title ya post is very clear...mwenyekiti wa bavicha taifa, mbona mnacomment kinyume na habari yenyewe?
 
Title ya post is very clear...mwenyekiti wa bavicha taifa, mbona mnacomment kinyume na habari yenyewe?
 
Wapiga kura watafanya maamuzi. Kuna vyama vingine ni "marufuku" kabisa kuonyesha nia ya kupambana na Mwenyekiti. Kura huwa zinalazimika kuwa za wazi ili kuwabaini wale "wajeuri" wachache na lengo ni kuhakikisha mwenyekiti anapata 102%
 
Mimi namwonya vipi hiyo mtu?by the way simfahamu na sioni hata sababu za kuhangaika naye. Shida ya cdm wengi ukimkosoa anakuandikisha wewe uliyemkosa ccm.why?inamaana chadema ni kuitikiana tu?hiyo ndo demokrasia?

Huyu unayemtukana hapa ni ofisa wa chama kanda ya Nyasa , kama mlitaka siasa za kistaarabu kwanini Heri James hamumuonyi , Bashiru uchafu anaouropoka kule Zanzibar ndio ustaarabu ule ?
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Amesema uenyekiti BAVICHA nasiio CHADEMA!
 
Picha yako haihusiani na mada yetu
Erthrocyte!

nimeweka picha hizo ili kukazia ujumbe wangu.
picha ya kwanza inaonyesha viongozi waandamizi chadema wakishiriki mazishi ya mbwa wa aliyewahi kuwa mbunge wa arumeru mashariki.

Na ya pili ni ya tundu lissu akipata bierre huko belgium.
woote ni viongozi waandamizi wa CHADEMA mkuu.
 
Ni nafasi ya Mwenyekiti BAVICHA. Siyo Mwenyekiti wa Chama Taifa.
 
United we stand
Divided we fall

Ccm mamalaooo
Chadema babalaooo
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Awamu hii haitaki mwenye busara inatakiwa mwana harakati Wa amsha amsha ndo atakwenda sawa na jiwe.Jiwe na nyundo uendana ili wakagawane vizuri vyumba the hague.Siasa za mbowe zafaa kama awamu za kina jk.Yatakiwa siasa kama za kupambana na makaburu.
Ila busara za Mbowe ndo zimeshikilia amani yetu tuzidi kuombea hili asiingie mwanaharakati atakayepinga kuonewa kwa vitendo.
 
Mdude Ana hasira na wasiojulikana sawa nyati aliyejeruhiwa kwa risasi hivo atamsaka mwenye risasi alipize.
 
@GuDume nafasi iliyomaanishwa kwamba anagombea Huyo mtajwa ni Uenyekiti Wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Na si Uenyekiti wa Chama cha CHADEMA.
 
Ivi mdude ndio jina lake halisi??
Tuwe serious kidogo
 
Ben saanane alikuwa msaidizi wa Mbowe kwenye risala pamoja na mambo ya kiuchumi. Hadi anapotea alikuwa personal assistant wa Mbowe
 
Kura yangu unayo mdudeeeeeeeeeeeeeeeee…. joking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…