Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

Kupambana na hii CCM ambayo sasa hivi inaongozwa na Vichaa (kama alivyotamka Mwenyekiti Taifa), kunahitajika watu ambao wanaweza muda fulani kubadilika na kujifanya nao ni vichaa pia.
Well said mkuu, Jiwe kashajipambanua kwa maneno yake mwenyewe kwamba yeye n kichaa, inabidi upinzani nao wapate viongozi vichaa zaidi yake ili mtanange uwe sawa, siasa za ustarabu ilikua kipind cha Jk
 
. Anagombania uenyekiti wa baraza la vijana chadema taifa, na sio uenyekiti wa chadema taifa.
 
Mkuu mbona povu sana! jiwe anatumia hela za Nchi kuua upinzani huoni Mdude akirahisisha kazi?
 
Ben saanane alikuwa msaidizi wa Mbowe kwenye risala pamoja na mambo ya kiuchumi. Hadi anapotea alikuwa personal assistant wa Mbowe

..kama anao wasaidizi / washauri sidhani kama wanamsaidia.

..mara nyingi Mbowe anaonekana kuzungumza kwa kutumia uzoefu tu, na hatoi hoja zinazoonekana kuwa zimeandaliwa na wataalam.
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
M/kiti bavicha
 
He is not fit for the position, sidhani kama kichwa chake ni rafiki kwa hiyo nafasi.. Ni jasiri lakini hana akili ya kuwa kiongozi.
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Huyo jamaa ni wa kuchunguzwa kabla ya kumchagua kuwa kiongozi hawezi kutekwa akaachiwa bila masharti ya kutekeleza.
 
Kama wataacha kujuana na makundi Basi Mwenyekiti anefaa BAVICHA ni Mh John Justine Pambalu
 
Huyo dogo anachojua ni matusi tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…