Mdude Nyangali ni Nelson Mandela wa kizazi hiki

Mdude Nyangali ni Nelson Mandela wa kizazi hiki

Upuuzi mtupu!

Kusikiasikia pekee sifa za Mandela, haitoshi kuelewa jinsi alivyokuwa.

Kumsikia kwako huko Mandela, ndio unataka kumlinganisha na wavuta bangi wa chadema?
Tena AKOME kumlinganisha Mandela na wavuta bangi!!!
 
Duh hiki chama kimejaa mazumbukuku

Unamfananisha Mdude na Mandela kwa kigezo kipi

Kama Mdude ni Mandela wa sasa, vipi mwenyekiti wenu Mbowe, mnamfanisha na nani?
 
Back
Top Bottom