Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

hamna lolote siyo mara ya kwanza kukamatwa, hakuna mtu yuko juu ya sheria au juu ya vyombo vya dola nchi hii, hakuna
Unasema vipi hakuna aliye juu ya sheria, wakati kuna ambao wana kinga ya kutoshtakiwa wakiwa madarakani au wakiwa wametoka? Kibaya zaidi wanaingia madarakani kwa kupora chaguzi.
 
Shida yote ipo hapo kwa mwarabu, miaka nenda miaka rudi wazungu walifanya mengi kule shinyanga williamson, arusha, nk nk na mwengine kauziwa pori kabisa hapo mbugani ila hatusikii kelele, so tatizo ni mwarabu na wala si uzalendo
 
Hivo ndio anavo taka huyo mtoa mada kubalanse

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Mnamuogopa Mdude lakini hamuogopi kusigina sheria na katiba ya nchi.

Ukiwa mtenda mabaya, wewe mwenyewe hujijui.... aliimba Remmy Ongala
Remmy mwenyewe aliyeimba yuko wapi sasa?
 
Cha ajabu hiyo cdm iliyokataliwa dhalimu akaishia kupora uchaguzi ili CCM watangazwe washindi kwa shuruti!
 
Siyo kuundiwa, wamejitakia wenyewe
1. wanataja Tanganyika- hii inavunja nchi ni uhaini
2. wanampa rais siku 14 kufanya watakayo, rais- ni uhaini
3. wanwambiwa watu waoondoe serikali- uhaini
4. wanadharau maamuzi mahakama- uhaini
Aisee
Hapo ni chawa tu, ukipata teuzi ya mchongo utawahukumu wasiompenda rais ni wahaini pia.

Pole kwa uzwazwa
 
Alaah, unakiri huu ukatili wa mama yenu kumbe amefundishwa kwenye dini yenu!
Sijazungumzia hilo, rejea ujumbe niliouquote. Hata hivyo nafuta kauli tafadhali, sipendelei mambo hayo mimi kwakuwa hayana maana
 
Siyo kuundiwa, wamejitakia wenyewe
1. wanataja Tanganyika- hii inavunja nchi ni uhaini
2. wanampa rais siku 14 kufanya watakayo, rais- ni uhaini
3. wanwambiwa watu waoondoe serikali- uhaini
4. wanadharau maamuzi mahakama- uhaini
Wanadharau mahakama hizihizi ambazo Rostam alisema wanapigiwa simu moja tu. Mahakama hizihizi ambazo wawekezaji hawataki kupeleka mashauri yao?

Kichekesho na hizo heshima zote mnazotaka ni kwa viongozi walioko madarakani kwa kupora chaguzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…