haijabamba hii badoWakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.
View attachment 2771375
Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia?
Kwamba kwa vile ruzuku au ubunge si vipaumbele vyetu pana baina yetu tumeapa kupambana na kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wenzao hadi wa wakwame tu?
Beberu anao ujumbe murua kwenu:
"Shame on you!"
haijabamba hii bado
bado haujafikaLengo si kubamba ndugu. Lengo ni kufikisha ujumbe.
Alisikika mwenye shibe mmoja akipayuka....Na hicho kibali cha kukusanyika kituo cha polisi watakipata wapi ?!!!![emoji15][emoji1787]
Mdude is "hopeless".....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mbna Mdude_Nyagali mban Yuko hukuMwenye contact za Mdude, Mwabukusi au Dr Slaa ani pm
Kibali cha kukusanyika ndio kipi hicho?Na hicho kibali cha kukusanyika kituo cha polisi watakipata wapi ?!!!![emoji15][emoji1787]
Mdude is "hopeless".....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wakafanyie kwenye ukumbi wa hotel ya sugu Desderia Hotel, yani mpaka Sugu kawatolea nje kwenye hotel yake,
Kibali cha kukusanyika ndio kipi hicho?
Mkuu Sugu ana hoteli mbeya inaitwa Desderia Hotel, kuna ukumbi mkubwa sana, wakafanyie hapoCCM mnaumia sana ukombozi unapokuja. Pendekezeni wakafanyie AISHI kabisa.
Ccm pambana na hali yenu , Mengine hayawahusu by ,the way Nawamegea kipande kiduchu tu kwamba , Mungu anasema ,na anasisitiza kwambaAjabu ni kuwa ma CCM na hata ma mapinzani uchwara leo yanaona kongamano kuzuiwa kinyume cha sheria ni sawa.
Mkuu Sugu ana hoteli mbeya inaitwa Desderia Hotel, kuna ukumbi mkubwa sana, wakafanyie hapo
Ccm pambana na hali yenu , Mengine hayawahusu by ,the way Nawamegea kipande kiduchu tu kwamba , Mungu anasema ,na anasisitiza kwamba
Kwa kuwa yeye alisha wafuteni katika kiti cha utawala , na kwa kuwa mmezidisha mara dufu kibri, haitakua jipya chini ya jua kukufutilieni mbali hata kabla ya 2025, Bwana ananena kwa uchungu mkuu,
Ukikubali sawa ,ukikataa sawa , patelea mbali , nakupeni kitu jinsi kilivyo na Tunzeni hii