- Thread starter
- #21
Pale ubalozi wa marekani kuna ukumbi pia mkubwa tu
Hapo ni nchi nyingine Mkuu. Au wewe hulijui hilo?
Kulikoni kwenda kufanyika mkutano Ghana au Afghanistan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale ubalozi wa marekani kuna ukumbi pia mkubwa tu
Kwani hiki ni chama gani kinachotishia uhai wa chadema!
Mkuu mimi kwa sasa nina furaha sana , tokana na jumbe Mungu wangu amenipa , hako ni ka kipande tu kati ya jumbe nilizopewa , wafanyakazi wangu mpaka wananishangaa, life la furaha nililonalo mpaka , ila hawajui, nami nasema Mungu wangu hajawahi niambia na kinyume kile ni makusudi yake ,kwangu binfsi , na yale nimekosa majibu,
Mkuu mimi kwa sasa nina furaha sana , tokana na jumbe Mungu wangu amenipa , hako ni ka kipande tu kati ya jumbe nilizopewa , wafanyakazi wangu mpaka wananishangaa, life la furaha nililonalo mpaka , ila hawajui, nami nasema Mungu wangu hajawahi niambia na kinyume kile ni makusudi yake ,kwangu binfsi , na yale nimekosa majibu,
Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo.
View attachment 2771375
Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia?
Kwamba kwa vile ruzuku au ubunge si vipaumbele vyetu pana baina yetu tumeapa kupambana na kina Slaa, Mwabukusi, Mdude na wenzao hadi wa wakwame tu?
Beberu anao ujumbe murua kwenu:
"Shame on you!"
bado haujafika
Erthyrocyte hata wewe?!!!
Kweli unamnyima kibali hapo Desderia ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkutano umefikia wapi wandugu?
JPM alikataza hii hotel isibomolewe. Unafikiri sugu amesahau?Wakafanyie kwenye ukumbi wa hotel ya sugu Desderia Hotel, yani mpaka Sugu kawatolea nje kwenye hotel yake,
Ajabu ni kuwa ma CCM na hata mapinzani uchwara leo yanaona kongamano kuzuiwa kinyume cha sheria ni sawa.
Punguza hasira.
Aaaagh komredi hata hilo unakita "mbango"?!! [emoji1787]Kibali cha kukusanyika ndio kipi hicho?
.....spika tayari zinakaribia kushushwa hapo kituo cha Polisi [emoji1787]Mkutano umefikia wapi wandugu?
Tunaoona tumeshaona kuwa hili jambo mlishapishana sana na sasa mnatafuta sababu ya kuhalalisha Azimio la kughairi.
Mungu ?!!! [emoji23][emoji1787][emoji1787]Ccm pambana na hali yenu , Mengine hayawahusu by ,the way Nawamegea kipande kiduchu tu kwamba , Mungu anasema ,na anasisitiza kwamba
Kwa kuwa yeye alisha wafuteni katika kiti cha utawala , na kwa kuwa mmezidisha mara dufu kibri, haitakua jipya chini ya jua kukufutilieni mbali hata kabla ya 2025, Bwana ananena kwa uchungu mkuu,
Ukikubali sawa ,ukikataa sawa , patelea mbali , nakupeni kitu jinsi kilivyo na Tunzeni hii
Ubalozi uingilie mambo ya nchi nyingine....Pale ubalozi wa marekani kuna ukumbi pia mkubwa tu
Wanaotafuta ukumbiMnataka - kiambishi "m" ukimaanisha kina nani na wewe ukiwa nani.
Bila maelezo mengine zaidi hapo tunadhani wewe ni polisi na unao waadress hapo bila shaka ni wananchi.
Ufanufanuzi wako tafadhali.
Mungu ?!!! [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Acha DELUSION komredi ha ha ha
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app