Mdude: Tutafanyia kongamano kituo cha polisi

Mliotokea kwenye kasherehe hako Lumumba nyote mnasema hivyo hivyo. Kwa hakika tunawaelewa kabisa.

Tunao washamba huku wako radhi katiba mpya isije kama si wao walio vinara, hali ubavu wa kuyaitisha maandamano hawana.

Siyo kazi hapo?
Mkwenye mambo serious na Mungu wangu huwa spendi utani, mie sio nabii ,mchungaji ,au mwalim , pitia post zangu kipindi cha mwendazake ,anzia 19 kuja 20 utajua nilisha sema hili hapa jf
 
Hehee.....kila kumbi inarejesha pesa

Daah
 
Mwache aende akafanyie polisi hilo kongamani uchwara , atakuta wameisha mtaarishia jezi yake na ndoo ndio akili zitarudi.
Uchochezi hauna nafasi TZ
 
Erythrocyte si awape ukumbi wa Desderia wanajifanya Manunda halafu kumbe hawana hata ukumbi? Hizo hela wakajenge ukumbi wao ndio wakafanyie makongamano yao na siyo kulilia kumbi za watu walizojenga kwa pesa zao.

Erythrocyte njoo huku.
 
Mkuu Ile haukuwa wito was kufanyia mkutano polisi. Slaa, Mwabukusi, Madeleka na wabobezi wengi ni far too smart kuto kuliona hili.

Itakuwa jemedali Mdude alimaanisha hata kama ni selo kongamano litaendelea.
Ujinga mtupu watu na akili zao na uzoefu wao kuwa mateka wa akili za Mdude_Nyagali

Hiyo ni desperation ya highest order
 
CCM na wapinzani uchwara Huwa na jambo moja tu in common: "maokoto."
Nilikwishakuambia kuwa hao sisimizi wako hawawezi kufanya lolote nchi hii!! Kama bado umawamini basi kajichunguze ubongo wako hospitalini
 

Karibuni Kahawa, makolo yanasemaje?
 
Kwa sasa hv Wacha wa bongo waendelee na story za yanga na Simba, zuchu na mond,mafuta yakifika 6000+, akili zikikaa sawa, tutamkumbuka na kuelewa kwanini huyu mwamba ana hasira na serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…