Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

Ule ni ujinga sio msimamo mkali, kama Mbowe mwenye chama kashalainika sembuse huyu panya.
 
Kwangu mimi Mdude nyalali ni kama kina mbowe 10 hivi au kina zito 22.

Ni kama kina lisu 8 hivi harafu jumlisha wote hao utapata MDUDE NYALALI Mwamba furani nanusu.

Namfananisha na mwamba furani CHACHA WANGWE Au DEO FILIKUNJOMBE.

Hilo la Tumtemeke kuasisi Chadema labda tawi la Ikonda
 
Naomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua

Anajiamini na ana Misimamo mikali kama muasisi wa Chadema hayati Tuntemeke Sanga

Hata Sugu Kabla hajachakachuliwa alikuwa na Misimamo mikali sana hasa alipoporwa Mradi wa vyandarua😀😀
Ni kama chanjila au Wema sepenga wa siasa

Mudomozzzzzz but no impact
 
Kwangu mimi Mdude nyalali ni kama kina mbowe 10 hivi au kina zito 22. Ni kama kina lisu 8 hivi harafu jumlisha wote hao utapata MDUDE NYALALI Mwamba furani nanusu.. namfananisha na mwamba furani CHACHA WANGWE Au DEO FILIKUNJOMBE.

Hilo la Tumtemeke kuasisi Chadema labda tawi la Ikonda
Waulize Wazee wako hapo Ufipa st kwa Makani watakupa orodha ya Wassisi 6 wa Chadema

Vikao vyote vilifanyika Motel Agip kwa Tuntemeke Sanga Mkinga na nusu!
 
Naomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua

Anajiamini na ana Misimamo mikali kama muasisi wa Chadema hayati Tuntemeke Sanga

Hata Sugu Kabla hajachakachuliwa alikuwa na Misimamo mikali sana hasa alipoporwa Mradi wa vyandarua😀😀
Wewe hangaika na historia ya watu wenu wa CCM. Achana na sisi.
 
Ule ni ujinga sio msimamo mkali, kama Mbowe mwenye chama kashalainika sembuse huyu panya.
Kwani Mbowe ndio ana hati miliki ya msimamo wa Mdude? Mdude hahitaji chama chochote kuonyesha msimamo wake.
 
Naomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua

Anajiamini na ana Misimamo mikali kama muasisi wa Chadema hayati Tuntemeke Sanga

Hata Sugu Kabla hajachakachuliwa alikuwa na Misimamo mikali sana hasa alipoporwa Mradi wa vyandarua😀😀
Ni Steve Biko wa Tanzania
 
Waulize Wazee wako hapo Ufipa st kwa Makani watakupa orodha ya Wassisi 6 wa Chadema

Vikao vyote vilifanyika Motel Agip kwa Tuntemeke Sanga Mkinga na nusu!
Hakuwepo mkuu. Mimi ni mwana jf mkongwe kuna wakati iliwekwa humu paper ya mahudhulio ya kikao cha kwanza walikuwa ni wachaga watupu wanafamilia ya mzee mtei na Aikaeli na walikutana moshi. Harafu tabia ya kunihusisha na manyumbu ya ufipa ikome mchawi wewe
 
😀😀 Wachagga walikuwa wawili tu halafu Msukuma, Mkinga, Mnyakyusa na Muhaya!

Au Nikupe majina dogo!
 
Back
Top Bottom