johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Panya ndio kiumbe anayeheshimiwa na Wanasayansi wote duniani akifuatiwa na Mbwa!Ule ni ujinga sio msimamo mkali, kama Mbowe mwenye chama kashalainika sembuse huyu panya.
Wewe ulikuwa chekechea wakati huo!Tuntemeke sanga aliasisi chadema ya nchi gani ?
Jina panya lilimgalimu baba yangu kanali maaamar Quadhafii wa sirteUle ni ujinga sio msimamo mkali, kama Mbowe mwenye chama kashalainika sembuse huyu panya.
Mtafute muulize, tunausikajeNaomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua
Ni kama chanjila au Wema sepenga wa siasaNaomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua
Anajiamini na ana Misimamo mikali kama muasisi wa Chadema hayati Tuntemeke Sanga
Hata Sugu Kabla hajachakachuliwa alikuwa na Misimamo mikali sana hasa alipoporwa Mradi wa vyandarua๐๐
Waulize Wazee wako hapo Ufipa st kwa Makani watakupa orodha ya Wassisi 6 wa ChademaKwangu mimi Mdude nyalali ni kama kina mbowe 10 hivi au kina zito 22. Ni kama kina lisu 8 hivi harafu jumlisha wote hao utapata MDUDE NYALALI Mwamba furani nanusu.. namfananisha na mwamba furani CHACHA WANGWE Au DEO FILIKUNJOMBE.
Hilo la Tumtemeke kuasisi Chadema labda tawi la Ikonda
Wewe hangaika na historia ya watu wenu wa CCM. Achana na sisi.Naomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua
Anajiamini na ana Misimamo mikali kama muasisi wa Chadema hayati Tuntemeke Sanga
Hata Sugu Kabla hajachakachuliwa alikuwa na Misimamo mikali sana hasa alipoporwa Mradi wa vyandarua๐๐
Kwani Mbowe ndio ana hati miliki ya msimamo wa Mdude? Mdude hahitaji chama chochote kuonyesha msimamo wake.Ule ni ujinga sio msimamo mkali, kama Mbowe mwenye chama kashalainika sembuse huyu panya.
Nyie Akina nani?Wewe hangaika na historia ya watu wenu wa CCM. Achana na sisi.
Ni Steve Biko wa TanzaniaNaomba kujua historia ya huyu Bwana mdogo kwa anayeijua
Anajiamini na ana Misimamo mikali kama muasisi wa Chadema hayati Tuntemeke Sanga
Hata Sugu Kabla hajachakachuliwa alikuwa na Misimamo mikali sana hasa alipoporwa Mradi wa vyandarua๐๐
Hakuwepo mkuu. Mimi ni mwana jf mkongwe kuna wakati iliwekwa humu paper ya mahudhulio ya kikao cha kwanza walikuwa ni wachaga watupu wanafamilia ya mzee mtei na Aikaeli na walikutana moshi. Harafu tabia ya kunihusisha na manyumbu ya ufipa ikome mchawi weweWaulize Wazee wako hapo Ufipa st kwa Makani watakupa orodha ya Wassisi 6 wa Chadema
Vikao vyote vilifanyika Motel Agip kwa Tuntemeke Sanga Mkinga na nusu!
Shemeji. Muda wote uko jf, kazi inafanya saa ngapi? Au unafanya kwenye ofisi ya CCM.?Nyie Akina nani?
Mdude yuko Kikosi Kazi cha Dr Slaa ๐๐
Nafanya Jf ๐๐๐Shemeji. Muda wote uko jf, kazi inafanya saa ngapi? Au unafanya kwenye ofisi ya CCM.?
๐๐ Wachagga walikuwa wawili tu halafu Msukuma, Mkinga, Mnyakyusa na Muhaya!Hakuwepo mkuu. Mimi ni mwana jf mkongwe kuna wakati iliwekwa humu paper ya mahudhulio ya kikao cha kwanza walikuwa ni wachaga watupu wanafamilia ya mzee mtei na Aikaeli na walikutana moshi. Harafu tabia ya kunihusisha na manyumbu ya ufipa ikome mchawi wewe