Forest park bar mbez kwa musuguri ,Dar na lkweta bar morogoro karibu na chuo cha ualimu morogoroJamani kwa wajuzi wenye kujua sehemu ambapo mdudu wetu tumpendaye anapopikwa vizuri na kwa usafi hasa kwenye mikoa yetu maarufu kama Dar, Dodoma, Mwanza, Arusha na mengine..watujuze ili na wengine tuweze kutembelea...
NAFIKIRI KAMA WW NI MLAJI WA MDUDU UTAKUA UMEELEWA ...
Chanika
utanikuta, nakusubiri....Arusha nenda pale Raskazoni opp na ilipokuwa Balton......ndio naelekea hapo sasa hivi mkuu......
utanikuta, nakusubiri....
Bigidi nyagi.Hahaaaaa. Mimi sibagui, popote tu nachangamka. achana na mdudu bwana we....
Jamani kwa wajuzi wenye kujua sehemu ambapo mdudu wetu tumpendaye anapopikwa vizuri na kwa usafi hasa kwenye mikoa yetu maarufu kama Dar, Dodoma, Mwanza, Arusha na mengine..watujuze ili na wengine tuweze kutembelea...
NAFIKIRI KAMA WW NI MLAJI WA MDUDU UTAKUA UMEELEWA ...