Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazimbu siyo?
Poa ukija tutafutane tumtafune mdudu kwa pamojaNafikiri next weekend ntapatembelea hapo
Chief umesahau kumuelekeza kuwa container bar imehama toka pale ilipokuwa pembeni ya uwanja wa tanesco buza, imesogea kwa mbele kidogo kama mita 160 toka pale kwa mwanzo, atakuta bango, wale jamaa hatari! kwa kuandaa mdudu!. jimmy agent anasubiri sana!Dar nenda jet lumo,container bar.
Mixer dongo na mbogamboga.
Asante kwa kunielimishia huyu binadamu.raha ya mdudu unakula mara moja moja....na kizuri zaidi mdudu ni white meat...siyo red meat ambazo zinamadhara mengi kiafya
Wapi hiyo mkuu?.Hahaaaaa. Mimi sibagui, popote tu nachangamka. achana na mdudu bwana we....
ahaaaa....nmekupataChief umesahau kumuelekeza kuwa container bar imehama toka pale ilipokuwa pembeni ya uwanja wa tanesco buza, imesogea kwa mbele kidogo kama mita 160 toka pale kwa mwanzo, atakuta bango, wale jamaa hatari! kwa kuandaa mdudu!. jimmy agent anasubiri sana!