Mdudu mtamu anapatikana wapi?

Mdudu mtamu anapatikana wapi?

Dar Nenda hapo migombani survey! Wanaichoma vizuri sana! Kwa Mwanza nenda gamestone nyegezi katikati ya Nyegezi kona Na Nyegezi stand.
 
Nimegundua presha na vitumbo mbinuko ni ngumu kuisha maana team penda mdudu wapo wengi sana.
 
Dar nenda jet lumo,container bar.
Mixer dongo na mbogamboga.
Chief umesahau kumuelekeza kuwa container bar imehama toka pale ilipokuwa pembeni ya uwanja wa tanesco buza, imesogea kwa mbele kidogo kama mita 160 toka pale kwa mwanzo, atakuta bango, wale jamaa hatari! kwa kuandaa mdudu!. jimmy agent anasubiri sana!
 
Kiwanja kingine machachali kwa mdudu maridhawa ni AIRTEL PUB, UKONGA BANANA. MIXER MZIKI MNENE na bale bazee benzangu ba mziki wa oldies mida hii ndo mida yake, mupa mupatia moja moto moja barrrrriiid! Kama dawa.
 
wadau waliotangulia wamesema kwa mzee robert mburahati shelii hapo ndio funga kaziiiii na chachanduuu ni balaaa
 
Chief umesahau kumuelekeza kuwa container bar imehama toka pale ilipokuwa pembeni ya uwanja wa tanesco buza, imesogea kwa mbele kidogo kama mita 160 toka pale kwa mwanzo, atakuta bango, wale jamaa hatari! kwa kuandaa mdudu!. jimmy agent anasubiri sana!
ahaaaa....nmekupata
 
Arusha ukitaka wa kuchoma ambaye yuko standard,unaweza kufika Sarafina maeneo ya Kaloleni jirani na Takukuru,lakini pia Mianzini Starlight bar na Delight. Ya mboga mboga ndio usiseme au roast. Mfano kwa roast fika Hunters maeneo ya Raskazone au Engutoto complex Njiro yaani ni wewe tu
 
Back
Top Bottom