Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Tatzo ww siyo mdau ndo maana hujaelewa
Sijawah sikia mtu amepata kipindupindu baada ya kula mdudu yule...Cholera imepamba moto Dar, Morogoro na Dodoma. Unapofuata ile kitu jaribu kuepuka zile chachandu maana hujui zimetengenezwa katika usafi gani (maji, general hygiene etc..). Kipindupindu ni noma. Chukua hatua.
Issue sio mdudu yule. Ni vile vikolombwezo vinavyoambana na hiyo kituSijawah sikia mtu amepata kipindupindu baada ya kula mdudu yule...
napafahamu hapo. wako vizuri pia.njoo bagdad bar maeneo ya kiwalan
Sijawah sikia mtu amepata kipindupindu baada ya kula mdudu yule...