Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Uuh pole nenda tu hospitalSalaam Wanajamvi...
natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo,mungu akawaongezee palipo pungua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuh pole nenda tu hospitalSalaam Wanajamvi...
natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo,mungu akawaongezee palipo pungua..
Bila jibapa kukupiga ganzi,usingizi leo sahauMkuu me huwa naiamini weed kama pain killer ila leo hazivutiki...bangi unaiangalia tu
Mkuu mpaka nimelileta hili mbele yenu mjue nimekosa tumaini,habari za kuchanganya madawa me sikubaliani nazo...Mbona dawa unayo hapohapo, chukua bangi mbichi majani kama matani hivi kisha yafikiche mpaka yatoe kama mchuzi hivi, mwagia huo mchuzi kwenye kidonda hapo, fanya hivyo kwa siku tatu utaona mabadiliko.
Uongo mtupuWanawake wanayodawa ukichomeka kwenye k ya mwanamke kama dakika 4 tu kesho unapona
Nimekutumia nambaMkuu Nije PM au wap?
Mkuu mimi sio soft kiivo na nikikwambia mazingira yangu ya kazi pengine yatakushangaza...Pole mkuu tumia ndulele.
Ila kwanini vijana wa sikuhizi ni soft kiasi hiki yaani mdudu tu ukate kidole mi nshapata shida zaidi ya mara mbili ukiachana na funza ambao nimetolewa zaidi ya mara 50
Ndulele utaweka Hadi uchoke mdudu anafukunyua tuuu. Tafuta k loweka kidole kesho njoo utoe ushuhuda hapaaa au nenda hospitaliMkuu mimi sio soft kiivo na nikikwambia mazingira yangu ya kazi pengine yatakushangaza...
Halafu kama inshu ya funza tunajua huo ni uchafu au kurogwa..
Hizo ndulele natumiaje?
Shukran sanaDaah comments za humu ni noma sna...mkuu sikiliza hamna kupaka majani wala sijui nini...fika hosp kesho chap sna au usku huu, onana na doctor ataku examine, then ataona kama kuna usaha ata drain plus atakuandikia antibiotics plus antipain utapona after some few days...usisikilize watu humu, herbal application hazina nafas hapo, utakatwa kidole hicho.
so fika hosp,poleee sna. Fuata huu ushauri.[emoji120]
Hina pia inasaidia, majani yake yanapondwa na kuweka kidoleniSalaam Wanajamvi...
natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo,mungu akawaongezee palipo pungua...
wakuu mwenzenu yamenifika,kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari...
kinauma mno yani hakukaliki hakulaliki,najihisi mnyonge nimekosa tumaini...
Nimeweka mafuta ya taa,nimepaka colgate,maji ya betri,vitunguu swaumu,maji ya moto lakini wapi,kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospital...
kama kuna aliewahi kuumwa na akapona naomba msaada wake nimetingwa ndugu zangu...
NAUONA MOTO MPAKA NMEWAZA ISIJEKUWA KANSA NKAKATE KIDOLE...
Nimekwambia tafuta IODINE paka funga bandage unatuletea ukikekike hapa hutaki endelea kuuguaHapa ndio utata unapoanza,wakuu mwenzenu naumwa nyie mnabishana dah
kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospital...
MakushabuApo ata kuroli weed mtihani,na kamwe haumuamini pusha,hakawii kukuuzia famba anakuambia Cha arusha