Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Mbona dawa unayo hapohapo, chukua bangi mbichi majani kama matani hivi kisha yafikiche mpaka yatoe kama mchuzi hivi, mwagia huo mchuzi kwenye kidonda hapo, fanya hivyo kwa siku tatu utaona mabadiliko.
Mkuu mpaka nimelileta hili mbele yenu mjue nimekosa tumaini,habari za kuchanganya madawa me sikubaliani nazo...
Mwisho mtaniua
 
Pole sana mkuu!

Mimi hiyo show naijua,usiombe ukutane na hii kitu.
 
Pole mkuu tumia ndulele.
Ila kwanini vijana wa sikuhizi ni soft kiasi hiki yaani mdudu tu ukate kidole mi nshapata shida zaidi ya mara mbili ukiachana na funza ambao nimetolewa zaidi ya mara 50
Mkuu mimi sio soft kiivo na nikikwambia mazingira yangu ya kazi pengine yatakushangaza...
Halafu kama inshu ya funza tunajua huo ni uchafu au kurogwa..

Hizo ndulele natumiaje?
 
Mkuu mimi sio soft kiivo na nikikwambia mazingira yangu ya kazi pengine yatakushangaza...
Halafu kama inshu ya funza tunajua huo ni uchafu au kurogwa..

Hizo ndulele natumiaje?
Ndulele utaweka Hadi uchoke mdudu anafukunyua tuuu. Tafuta k loweka kidole kesho njoo utoe ushuhuda hapaaa au nenda hospitali
 
Daah comments za humu ni noma sna...mkuu sikiliza hamna kupaka majani wala sijui nini...fika hosp kesho chap sna au usku huu, onana na doctor ataku examine, then ataona kama kuna usaha ata drain plus atakuandikia antibiotics plus antipain utapona after some few days...usisikilize watu humu, herbal application hazina nafas hapo, utakatwa kidole hicho.
so fika hosp, just bacterial infection tu hyo but inaweza hitaji a simple procedure ya kudrain pus iliyopo kwanza then utapewa antibiotics na pain killler...kwisha mchezo...poleee sna. Fuata huu ushauri.[emoji120]
 
Shukran sana
 
Hina pia inasaidia, majani yake yanapondwa na kuweka kidoleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…