Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Kama una mke wakati wa msjamboz mchomekee kidole kikae huko hata dakika 5 haina madhara kwake ila ni dawa konki. Pia chukua matunda ya ndulele yatwange ama ublend changanya na kerosine kidogo drops kadhaaa, then ingiza kidole kike huko mda tu, fanya kila siku mara3 kwa mda wa wiki. Ingine kanunue iodine tinkcha kamua hadi uone damu then loweka kidole chako
 
Ila usisahau tumia ampiclox 2x3x5 but nenda hosptl wakuchane watoe mdudu
 
Ungewahi kutumia amplicox wakat kinaanza Kabisa mama angu alikipata hakulala usikumzima tukamuwah na izo hakikuvimba Tena kikanywea
Tumia izo dawa Polesana nasikiaga maumivu yake ni balaa tumia amplicox
Ukiacha maumivu ya kubanwa korodani,haya yanafuatia
 
Shukran,ila nimaji kama maji bila kuweka chochote
Ndiyo, bila kuweka chochote.

Mwanzo niliambiwa nitumie kitunguu saumu nikatumia ila nikaona ndo nazidi kufanya kidole kiume zaidi.

Kwa hiyo nikaamua kuachana na hiyo kitu, nikawa napasha maji yanakuwa ya vuguvugu then nakiloweka humo kwa muda wa sekunde 3 au 4 then natoa nasikilizia maumivu then narudia tena.

Zoezi lilikiwa linadumu kwa dakika 4 au tano na sikumbuki nilikuwa nafanya mara ngapi kwa siku, ni mara nyingi.
 
Kinapona chenyewe au kinaiva haraka(ili utumbue)
 

Kila kitu kina peak, sasa wewe amua ungoje maumivu mapaka mwisho au uende Hospital, unapoumwa sana, mtu atakeyakushauri usiende Hospital ana upungufua wa akili..... Usitusumbue, ungeenda Hospital wakashindwa ukarudi hapa, sawa...
 
Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Mimi miaka mingi iliyopita nilipata hio shida nikafanyiwa operation. Kimepona imebaki alama.
 
Kila kitu kina peak, sasa wewe amua ungoje maumivu mapaka mwisho au uende Hospital, unapoumwa sana, mtu atakeyakushauri usiende Hospital ana upungufua wa akili..... Usitusumbue, ungeenda Hospital wakashindwa ukarudi hapa, sawa...
Sawa mkuu,nafanya ivo saiz
 
Hivi bado kuna watu wanaweka maji ya betri kwenye kidonda. Asee unakosea sana kupaka kidonda vitu visivyosahihi nenda hospitali watakuchoma sindano mdudu atatoka au unaweza usimuone ila kitakauka na kidole kitapona
 
Japo post ya muda ila next time meza antibiotics upake na antifungal cream hio ni Paronychia inaitwa kitaalamu hakuna mdudu wala nini na ulivyopaka ndo vimezidisha tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…