Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Mdudu wa kidole, natamani kukata kidole

Mkuu pole sana. Kuna majani fulani hivi kule moshi unayatafuna ili yalainike halafu unayaweka kidoleni unayafungia na kitambaa kwa huku mjini sijawahi kuyaona zaidi ya kule Moshi. hata jina lake kwa kiswahili sijui
Mimi mwenye sipo mjini,taja hivyohivyo tutajua pakuanzia
 
Sio kwa nia mbaya,ugeni na kutokujua ni kitu gani kinanisumbua ndio vimenichelewesha...

Nilidhan ni maumivu ya kawaida tu.
Duh! Pole sana..fika hosp usiruhusu haya majaribio. Wakati mwingine hatua za kubahatisha huleta maangamizi zaidi.
 
Pole sana Mkuu najua wakati unao pitia kwa Sasa.

Uyo mdudu aliwai msumbua mama yangu mzazi usiku kulikiwa akulaliki Tena ilikuwa ni kidole Cha kati zaidi ya miaka mitatu aliweka Kila aina ya kimiminika plus kwenda hospital mwisho wa siku alipona sema sikumbuki alitumia dawa gani kesho nitamuuliza Kisha nitakupa mrejesho

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu.. Io ni paronychia.

Kwasasa unaweza kanda na kidole kwa kutumia maji ya moto, either ukikande kande au umwagilizie maji ya moto kwenye kucha.

Pia unaweza chukua limao litoboe katikati liwekee chumvi alafu ingiza kidole hapo kwa muda.

Kupona ni process,

io inaweza kukupa ahueni wakati huu unasubiri kwenda hospitali ili kujua kama io hali imesababishwa na bacteria au fungus na kupatiwa dawa zinazohitajika..
 
Ungewahi kutumia amplicox wakat kinaanza Kabisa mama angu alikipata hakulala usikumzima tukamuwah na izo hakikuvimba Tena kikanywea
Tumia izo dawa Polesana nasikiaga maumivu yake ni balaa tumia amplicox
 
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.

Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.

Nimeweka mafuta ya taa, nimepaka Colgate, maji ya betri, vitunguu swaumu, maji ya moto, lakini wapi? Kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospitali.

Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Nulishawai kuumwa chukua ndulele ichome moto alaf uweke kidole au kama una mke muombe wife uweke kidole kwemye k utapona
 
Dah yaan haya sio maumivu mkuu,utafikiri moyo umehamia kidoleni
Pole sana, dawa za majani zipo, ila hiyo yakuchovya nimewahi isikia ila baada ya shughuli chovya hapo sasa sijui na hayo maumivu kazi itafanyika kweli? Kwasababu sio sumu chovya asubuhi hosp, pole tena.
 
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.

Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma mno yaani hakukaliki, hakulaliki. Najihisi mnyonge, nimekosa tumaini.

Nimeweka mafuta ya taa, nimepaka Colgate, maji ya betri, vitunguu swaumu, maji ya moto, lakini wapi? Kuna watu wananiambia nisichokonoe wala nisiende hospitali.

Kama kuna aliewahi kuumwa na akapona, naomba msaada wake. Nimetingwa ndugu zangu. Nauona moto mpaka nmewaza isije kuwa kansa, nka-kate kidole.
Nenda hospitali
Ramli zinaua
 
Wanawake wanayodawa ukichomeka kwenye k ya mwanamke kama dakika 4 tu kesho unapona
Kama hana pisi anaenda kwa wale waaaojiza na kiasi fulani kama anaenda kununua vile wakishakubaliana bei wakifika chobisi anamuambia shida yake ilikuwa kuweka kidole kwa dk 4 tu😁😁😁
 
Back
Top Bottom