Alikuwa anawafanyia kazi ma-Bwana wakubwa, akafanya ili apate mshahara!Kwa ufupi, kama mpiga picha alitaka kuzungumzia umaskini, mwambie sio hivi. Data hazijatosha arudi field.
Naungana na wewe huu ni udhalilishaji uliokubuhu. Kuna haja ya kuwaandikia na kuwaeleza juu ya hili. Mbona wao wanaheshim sana privacy ya vitoto vya kizungu. This is extreme. PJ chukua hatua otherwise ruhusu wengine tuandike juu ya hali hii. Hata km kunaumasikini kielelezo si uchi wa huyo mtotoAre you an alien from the Jupiter?
Umepewa na visual aid kabisa, bado hufanikiwi kutoa hata comment inayosomeka, in connection to hoja ya mleta thread!...are we really together!
Hivi jamani , picha kama hii kwa kuitazama, ina lengo la kuongelea juu ya umasikini tu wa watu wa Africa?
Mi naona kama vile kuna meseji iliyofichama, ikiandamana na picha hii, nayo ni udhalilishaji wa Waafrica...Wenzangu mnaonaje?
Source: UNDP report on African Poverty.
Alikuwa anawafanyia kazi ma-Bwana wakubwa, akafanya ili apate mshahara!
They're doing these unfair games over our African Continent, am not impressed at all!
Kama unashangaa hii photo ya vijana (watoto ) wa kiafrika, winter karibu inaisha huko ughaibuni hebu nenda ukaone fikwe za wenzetu zitakavyo jaa watu wa zima bila nepi wala shimizi
Jibu unalo mwenyewe. Wanaheshimu na hiyo pamoja na kuwa nguo. Haiwezekani kusema hata suruali ya baba iliyochanika ikaunganishwa kwa sindano ya mkono inashindikana. Watu hawajali wakikumbushwa wanasema wamezlilishwa.Naungana na wewe huu ni udhalilishaji uliokubuhu. Kuna haja ya kuwaandikia na kuwaeleza juu ya hili. Mbona wao wanaheshim sana privacy ya vitoto vya kizungu. This is extreme. PJ chukua hatua otherwise ruhusu wengine tuandike juu ya hali hii. Hata km kunaumasikini kielelezo si uchi wa huyo mtoto
Ndugu yandu hapa una deal na Wabongo. Denial ni ugonjwa wao mkuu. Lakini hata mkuu wao wa kaya naye ni yale yale. Alisima huku povu likimtoka eti Watanzania hawali mapanki. Saupper katudhalilisha , na maneno mengine yakuudhi.Mkuu unataka kusema huo ni uongo? siamini kama mnataka kubisha kuwa Afrika hakuna watu wanaoishi kwenye mazingira magumu namna hiyo.