acha kupanick ndugu. Unawezakuta hakuna hata baya moja linaloendelea, watu wanaocomment acha wacoment. mkeo mzuri na mwanao pia siyo mbaya kusifia uumbaji wa Mungu. Kuhusu majibu ya wife hakyanani hata ningekuwa mimi ukionyesha mashaka kwamba mwana si wako lazima nikuwakie, ni utovu wa nidhamu on your part, bora ungefanya dna kimyakimya lakini siyo kusema hadharani on her face, na kama ni wako je kiukweli je/ Btw kwani una sura mbaya sana? just curious.
Mtoto sio wako