Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Mkubwa achana nao hao watu wasikuumize kichwa..Usidhani kwamba wale wote wanaokuwa marafiki facebook ni ndugu...inabidi ufahamu labda mtu anaweza kuona page yako akaamua kukuadd tu hata kama hakujui kwa hiyo kuhusu hizo comment zifumbie macho tu...ila wewe kama mwanaume kwa vile umeshagundua tayari kwamba yupo facebook then cha kufanya ni jaribu kumfatilia take ur time hata kama miezi 3 hadi 5 najuwa utakuwa umeshajuwa kama mke wako anauhusiano na mtu humu au laah!
wala usipaniki ni vitu vya kawaida kabisa!!
wala usipaniki ni vitu vya kawaida kabisa!!