mmmh! Haya bwana
dhambi ya ubaguzi ukiianza haiishi
utasema yule kalelewa na mama mmoja
mara kalelewa na baba mzungu
mara kalelewa na wazazi wakulima
Madhara yapo kwani hata mkigombana atafukuzia umuache kwani hata mama yake anaishi pekee yake ataona hana sababu ya kukung'ang'ania
Hiyo inaonesha jinsi nchi isivyokuwa na maadili, mijitu inazaliana hovyo nje ya ndoa. Uzinzi mtupu.
hivi wanaolelewa na mzazi mmoja hutokana na uzinzi? kifo huwa hakiusiki? au mifarakano kwenye ndoa?
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
we mpuuzi nini,nikosoe mimi ka mimi,usiingize mambo ya vyuo humu,kama ulishndwa kufika ni wewe na undezi wako.
Hiyo inaonesha jinsi nchi isivyokuwa na maadili, mijitu inazaliana hovyo nje ya ndoa. Uzinzi mtupu.
]I don't think that has any bearing on anything[/SIZE].
Don't ever marry a woman who doesn't have a father, raised by single parent - womanHeshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
Huyu Faiza achana nae,atakuumiza kichwa bure!
Yanaweza kuwepo japo si lazima. Mwanamke wa namna hii huwa anajiandaa kuishi peke yake hata wakati yupo na wewe. Si ajabu akawa anafanya maamuzi mwenyewe bila kukushirikisha au kukutaarifu kwa kuwa hajazoea kuona mama yake akiitafuta ridhaa ya mwanaume kabla ya kufanya jambo.
Ni masuala tu ya kisaikolojia ambayo hata mwanaume aliyelelewa na baba mkorofi mwenye kumpiga mama, hubeba mentality ya kuwa ili uwe mwanaume lzm wanawake waliopo around you wawe taabuni wakati wote.
Ila kwa namna nyingine yaweza ikawa nzuri kwako pia. Mwanamke aliyekosa upendo wa baba, anaweza akawa safi zaidi kwako if you are caring person. Ni dhahiri atahitaji kufidia aliyoyakosa kwa baba toka kwako, kwa hiyo akawa msikivu na mwambata kwa kila hali.