Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mara nyingi katika mazingira fulani ambayo hatukutarajia na kwa namna isiyoeleweka kabisa ndipo tunakutana na watu wetu sahihi wakati mwingine hata tukiulizwa tulikutana wapi au tulifahamiana wapi inatubidi kusema uongo kwasababu mazingira na namna ile tulivyokutana watu watatushanga'aa sana😀
Namna tulivyokutana au wapi tuliponana na tukaanzisha mahusiano wakati mwingine hutulazimu iwe siri yetu tu si ya kusema kwa kila mtu na wakati mwingine tunawadanganya tu tulipofahamiana au kuonana ili tusieleweke hivyo ila kiuhalisia yawezekana sisi tulikitana mtandaoni yaani fb,Jf, kwenye magroup, bar nk
Yawezekana hata wewe mtu wako uliyenaye mlikutana kwenye mazingira ambayo hakika haukutarajia na hukuwaza ila leo ndi mkeo au mumeo hata kama hamjaoana ila mnapendana sana na mnafurahia mahusiano yenu vizuri tu.