Meagiza toyota premio 2003 baadala ya brevis

nickag

Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
64
Reaction score
29
Baada ya ushaur mzur niliopata katika jukwaa hili niliona brevis hainifai juu ya service na uimara wa injin ikabid niagize premio 2003 cif usd 2750.. Ushauri namna nzuri ya matunzo ya hii gari na kwa wazoefu changamoto zake na matumizi ya mafuta ni kias gan kwa kilomita kibongo bongo.. Injin yake ni 1zz cc 1800.
 
Gari yenyewe ndo hiyo.
 

Attachments

  • 1475103415365.jpg
    58.8 KB · Views: 242
  • 1475103428613.jpg
    64.4 KB · Views: 226
  • 1475103437272.jpg
    55.9 KB · Views: 220
  • 1475103445943.jpg
    60.9 KB · Views: 226
Hongera... Ukitaka uwe salama kwenye bara bara za Dar, usiendeshe chini ya spidi themanini na usizidi speed 120. Kumbuka kumwaga oil kila baada ya Km 3000 hadi Km 5000. KM 3000 ndio standard. Sie wenye magari ya Diesel tunakaaga na oil mpaka km 5000 kwa vile Diesel yenyewe ilivyo greasy inatumika pia kama lubricant. Ndio maana gari za engine ya Diesel zinatembeaga km nyingi kuliko gari ya Petrol kwa sababu wear and tear ya kwenye engine huwa ni very minimal...
 
Itabidi arekebishe hiyo invoice ama sivyo watamlamba kama invoice inavyosoma. Bei ya tra ni usd 2360 wakati yake ni usd 2750.00
 
Itabidi arekebishe hiyo invoice ama sivyo watamlamba kama invoice inavyosoma. Bei ya tra ni usd 2360 wakati yake ni usd 2750.00
kwa hii gari tra watanichaji kiasi gani mkuu?



CFJ0093587

Location

Japan



VIN / Chassis No.*

S402U-0001***

Mileage

150,204 km

Model Code

ABF-S402U

Engine

1,500 cc

Registration

2008/Aug

Toyota Liteace Truck 2008

Arrival Port

Dar Es Salaam (Port)

cif =US$6,997

Mombasa (Port)
US$6,957
 
 
Itabidi arekebishe hiyo invoice ama sivyo watamlamba kama invoice inavyosoma. Bei ya tra ni usd 2360 wakati yake ni usd 2750.00
Okey kwa hiyo niiacha hivo ushuru utakuwa juu zaid ya kwenye web ya tra...
 
Pia usiweke tinted kwenye vioo vya mbele ili ku allow maximum visibility... Majirani waweze kukuona kuwa umenunua chombo mpya.
Bahati mbaya maonyesho sipend tinted mpaka mbele lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…