Baada ya ushaur mzur niliopata katika jukwaa hili niliona brevis hainifai juu ya service na uimara wa injin ikabid niagize premio 2003 cif usd 2750.. Ushauri namna nzuri ya matunzo ya hii gari na kwa wazoefu changamoto zake na matumizi ya mafuta ni kias gan kwa kilomita kibongo bongo.. Injin yake ni 1zz cc 1800.