Nani asiyejua wewe ni mdangangiza wa Mwananyamala?Congrats Tz..Reli ikikamilika naja hapo kuonja asali ya Reli-umeme..tumezoea gari moshi humu
True. Nmekua nkifuata jamii forums from behind the scenes na debating ya huyu mjamaa haikai ya mkenya.Nani asiyejua wewe ni mdangangiza wa Mwananyamala?
Congrats Tz..Reli ikikamilika naja hapo kuonja asali ya Reli-umeme..tumezoea gari moshi humu
Huyo jamaa ni mtanzania.Karibu sana mkuu
Guys this is just a test cruise with a testing locomotive.
Just relax, as more will come.
View attachment 1146605
View attachment 1146605
View attachment 1146616
View attachment 1146617
Huyo jamaa ni mtanzania.
Kuna mkikuyu ambaye ni MtZ?
Subiri Kama magavana toka county za kenya hawatakuja kujifunza tulivyoweza kufanikisha treni ya umeme.π π π π Yaani hamna wa kuwapongeza, mnabaki kujipongeza.