Mean While; Tanzania is Testing the SGR

Mean While; Tanzania is Testing the SGR

Mimi hapana toka nje .Giza atameza mimi 😜 😜
....na baridi ni Kali mno

Ahaa aaa
Si ajabu hapo huna blanket chapa mtu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nakuonea huruma.
Ndiyo mkome kuwadunda mangumi mablanketi.
 
Kwn siku hz msaada ni mashindano...unatoa kile ulicho nacho...na ujue kdf walifika katika eneo la tukio mbele ya jwtz
KHAA WAKATI HUO MNALETA HZO BLANCKETS ISLAMIC FOUNDATION WALISHATOA MSAADA ZAMMAAANII MPK NYUMBA KUANZA KUJENGWA.
YAN UNALETA MSAADA WAKATI AMBAO WATU WASHASAIDIKA?;
POOR YOU
 
Ile siku mtatoa hta msaada wa shilingi moja kenya ndio tutawasaidia...lkn sai tunajua nynyi ni wanafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Serikali haikushindwa kutoa hzo tsh 50 millions kila kijiji.
Bali mambo ya msingi yalifaa tazamwa kwanza.
We utoa hela zote ilhali watu wanahitaji vituo vya afya,maji safi na salama na MIUNDOMBINU bora hyo 50 millions itakidhi hayo kila kijiji??jibu laa.
Hyo million mia na hamsini haiwez nisaidia ht mm budah.
Maana ht bungalow ya uhakika haikamilishi.
Nyie mlitoa rambirambi buddah.
Na ndio kwanza mara ya kwanza kenya imetoa rambirambi tz.
Kagera walipata earthquake mlikua wapi kutoa msaada?mpaka mnaleta blankets ilihali waarabu walishafika wakaanza kuinua had nyumba??
Badala ya kutoa msaada kwa wahitaji mnatoa rambirambi kwa wafu.
Then ndio mara ya kwanza serikali yenu inaipa pesa za rambirambi tz kwahyo usijibarague sana.
NATAKA SIKU MU FINANCE MRADI HT WA $ 5 MILLIONS HP TZ NDIO NITAWAPA RESPECT.
ILA SIO SHILINGI MILLION MIA HAMSINI AMBAZO HT BUNGALOW HAZIKAMILISHI
 
Ile siku mtatoa hta msaada wa shilingi moja kenya ndio tutawasaidia...lkn sai tunajua nynyi ni wanafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona hueleweki?
Kwani msaada ni deni? Kama unasubiri mtu akusaidie ndiyo umsaidie, huo si upendo wala ukarimu.
 
Mbna basi na nyinyi mnachagua misaada...eti ksh5 million sio pesa...haimalizi hata bungallow...

Anyway...hilo ni jibu kw huyo kilaza mwenzio...haikuhusu
Mbona hueleweki?
Kwani msaada ni deni? Kama unasubiri mtu akusaidie ndiyo umsaidie, huo si upendo wala ukarimu.
 
ISLAMIC FOUNDATION WALIKUA WATU WA KWANZA KABBISA KUFIKA ENEO LA TUKIO.
NA WAO NDIO WALIOWASAIDIA WATU NA KUWAOKOA.
HAO WENGINE WAMEKUJA HADI NYUMBA ZISHAANZA KUINULIWA NDIO MSAADA GAN?
YAN SAW NA NYUMBA YAUNGUA MOTO WATU WASHAUZIMA WEWE NDIO WAJITOKEZA NA MAJI YAKO.WHAT WILL HELP ?
Kwn siku hz msaada ni mashindano...unatoa kile ulicho nacho...na ujue kdf walifika katika eneo la tukio mbele ya jwtz
 
Unafiki hata nyie mnao.
Unadhani nyie vibaraka wa wazungu ni watu wa kuaminika??
Ile siku mtatoa hta msaada wa shilingi moja kenya ndio tutawasaidia...lkn sai tunajua nynyi ni wanafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona unaleta ngojera nyingi kupinga msaada...hilo halifutiki...halafu mbna kdf wakafika mbele ya jwtz
ISLAMIC FOUNDATION WALIKUA WATU WA KWANZA KABBISA KUFIKA ENEO LA TUKIO.
NA WAO NDIO WALIOWASAIDIA WATU NA KUWAOKOA.
HAO WENGINE WAMEKUJA HADI NYUMBA ZISHAANZA KUINULIWA NDIO MSAADA GAN?
YAN SAW NA NYUMBA YAUNGUA MOTO WATU WASHAUZIMA WEWE NDIO WAJITOKEZA NA MAJI YAKO.WHAT WILL HELP ?
 
Naona unaleta ngojera nyingi kupinga msaada...hilo halifutiki...halafu mbna kdf wakafika mbele ya jwtz
JPM kwa mwanzo hakuwa ready kutoa msaada.
Lakin walioisaidia Kagera ni Islamic foundation.
Wao ndio wa mwanzo kabbisa kufika utake usitake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kwhyo umekubali kdf walikuwa wa kwanza...jwtz wao walikuwa wanavunja matofali...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sijakataa kuwa jwtz wamechelewa kufika kabla ya Kdf.
Ila wa mwanzo kusaidia ni Islamic foundation.
 
Back
Top Bottom