Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πAhaa aaa
Si ajabu hapo huna blanket chapa mtu.
πππ
Nakuonea huruma.
Ndiyo mkome kuwadunda mangumi mablanketi.
KHAA WAKATI HUO MNALETA HZO BLANCKETS ISLAMIC FOUNDATION WALISHATOA MSAADA ZAMMAAANII MPK NYUMBA KUANZA KUJENGWA.
YAN UNALETA MSAADA WAKATI AMBAO WATU WASHASAIDIKA?;
POOR YOU
Serikali haikushindwa kutoa hzo tsh 50 millions kila kijiji.
Bali mambo ya msingi yalifaa tazamwa kwanza.
We utoa hela zote ilhali watu wanahitaji vituo vya afya,maji safi na salama na MIUNDOMBINU bora hyo 50 millions itakidhi hayo kila kijiji??jibu laa.
Hyo million mia na hamsini haiwez nisaidia ht mm budah.
Maana ht bungalow ya uhakika haikamilishi.
Nyie mlitoa rambirambi buddah.
Na ndio kwanza mara ya kwanza kenya imetoa rambirambi tz.
Kagera walipata earthquake mlikua wapi kutoa msaada?mpaka mnaleta blankets ilihali waarabu walishafika wakaanza kuinua had nyumba??
Badala ya kutoa msaada kwa wahitaji mnatoa rambirambi kwa wafu.
Then ndio mara ya kwanza serikali yenu inaipa pesa za rambirambi tz kwahyo usijibarague sana.
NATAKA SIKU MU FINANCE MRADI HT WA $ 5 MILLIONS HP TZ NDIO NITAWAPA RESPECT.
ILA SIO SHILINGI MILLION MIA HAMSINI AMBAZO HT BUNGALOW HAZIKAMILISHI
Ile siku mtatoa hta msaada wa shilingi moja kenya ndio tutawasaidia...lkn sai tunajua nynyi ni wanafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona hueleweki?
Kwani msaada ni deni? Kama unasubiri mtu akusaidie ndiyo umsaidie, huo si upendo wala ukarimu.
Kwn siku hz msaada ni mashindano...unatoa kile ulicho nacho...na ujue kdf walifika katika eneo la tukio mbele ya jwtz
Ile siku mtatoa hta msaada wa shilingi moja kenya ndio tutawasaidia...lkn sai tunajua nynyi ni wanafiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafiki hata nyie mnao.
Unadhani nyie vibaraka wa wazungu ni watu wa kuaminika??
ISLAMIC FOUNDATION WALIKUA WATU WA KWANZA KABBISA KUFIKA ENEO LA TUKIO.
NA WAO NDIO WALIOWASAIDIA WATU NA KUWAOKOA.
HAO WENGINE WAMEKUJA HADI NYUMBA ZISHAANZA KUINULIWA NDIO MSAADA GAN?
YAN SAW NA NYUMBA YAUNGUA MOTO WATU WASHAUZIMA WEWE NDIO WAJITOKEZA NA MAJI YAKO.WHAT WILL HELP ?
JPM kwa mwanzo hakuwa ready kutoa msaada.Naona unaleta ngojera nyingi kupinga msaada...hilo halifutiki...halafu mbna kdf wakafika mbele ya jwtz
JPM kwa mwanzo hakuwa ready kutoa msaada.
Lakin walioisaidia Kagera ni Islamic foundation.
Wao ndio wa mwanzo kabbisa kufika utake usitake
Sijakataa kuwa jwtz wamechelewa kufika kabla ya Kdf.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kwhyo umekubali kdf walikuwa wa kwanza...jwtz wao walikuwa wanavunja matofali...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sijakataa kuwa jwtz wamechelewa kufika kabla ya Kdf.
Ila wa mwanzo kusaidia ni Islamic foundation.