Ya Burret train?. Sasa naona mnatest mtungi wa konyagi? SI hata ungesema nilikuwa sahihi pande ya BWAGAMOYO.Wewe si ndiyo ulisema ya kuwa tukijenga hata sentimeta moja tuku Tag. sasa ona mambo yanajipa yenyewe.... cheki mchuma unavyo test.
Hehehehe kabla kujenga hamkujua? Vile ushabiki huku ulikuwa kila siku hamkujua kwamba another Port heading nowhere was a white elephant? Kama hata Dar Port yenyewe inaishia tu hapo Dar je Bagamoyo?Tulichokimbia bwagamoyo ni kufanywa asusa na mchina kama alivyo wafanya asusa nyie kwenye SGR.
Hehehehe kabla kujenga hamkujua? Vile ushabiki huku ulikuwa kila siku hamkujua kwamba another Port heading nowhere was a white elephant? Kama hata Dar Port yenyewe inaishia tu hapo Dar je Bagamoyo?
Usilinganishe SGR yetu na Bagamoyo bali na SGR yenu whereby yetu tayari ni up and running with over 4million passengers.
AYA SUBIRI TUONE.Hata Bagamoyo niliambiwa naropoka , matokeo yake unayaona. Hata hili la SGR Niko sahihi 100% Hamna burret train hata moja ni mtungi wa gongo [emoji24][emoji24][emoji24]
Nikilipa nauli ya 1000 kuenda Mombasa ama Nairobi from Mombasa itakuwa Nina shugli muhimu nitakayo tumia hela zaidi kuliko hip nauli. That is the objective if you look at it in a non-layman's perspective.Ahaa ha ha,
kwenye SGR yenyu, tayari mchina kawafanya asusa. Hiyo yote 4m pax ni hela ya mchina ambayo you will pay it across the generation.
Afu sisi tunalipa deni zetu like the Lanisters wa GOT na ndio maana tunapewa kiurahisi. Nyinyi mlisamehewa juzi tu deni la Brasil na WB.Ahaa ha ha,
kwenye SGR yenyu, tayari mchina kawafanya asusa. Hiyo yote 4m pax ni hela ya mchina ambayo you will pay it across the generation.
Nikilipa nauli ya 1000 kuenda Mombasa ama Nairobi from Mombasa itakuwa Nina shugli muhimu nitakayo tumia hela zaidi kuliko hip nauli. That is the objective if you look at it in a non-layman's perspective.
They are better for defaulters like your Country I am 190% dyre Jenya has never defaulted on such. Do yoy agree?Ahaa haa ndivyo wanasiasa wanavyowadanganya? sasa kwa nini mlichukua commercial loan wakati mnajua hii reli haitalipa kifedha, bali kiuchumi. mngeenda kwa concessional loan basi.
They are better for defaulters like your Country I am 190% dyre Jenya has never defaulted on such. Do yoy agree?
Mshawahi samehewa deni Mara ngapi?Those are wishful thinking. Subiri mature ya madeni ifike. Kama hamjaanza tena kukopa kwenye European debt markets ili mlipe deni.
Hivi ile EuroBond tayari mumesha issue??
Nataka ile offering memoranda ili nami nije ninunue.
Kipind cha mkapa maden yalisamehewaMshawahi samehewa deni Mara ngapi?
leta ushahidi sio bra bra braachana na hawa. nao wamesamehewa madeni mara kibao.
It's only Tanzania that were not able to pay their debt until it was written off.achana na hawa. nao wamesamehewa madeni mara kibao.
It's only Tanzania that were not able to pay their debt until it was written off.
It's only Tanzania that were not able to pay their debt until it was written off.
Tanzania were unable to pay their debts period.Mbuzi kasoro mkia ww.
MKAPA ALIFUTIWA DENI KAMA KUPEWA HONGERA KWASABABU ALIWEZA KUPUNGUZA MADENI TOKA YA MWINYI MPAKA YAKE.
NA TANZANIA LIKABAKI NA DENI DOGO.
NDIO WAKAWASAMEHE KAMA PONGEZI KWAO.
NDIO MAANA SISI HAPA HATUNA MADENI KAMA NYIE.
ILA KTK MATAIFA MAGUMU KULIPA MADENI YANAKOPA KULIPA DENI NI KENYA.
NDIO MAANA MADEN YANAONGEZEKA.
KIVP WATAWASAMEHE ILHALI HAMJAONESHA MOYO WA KURUDISHA MADENI?!
IMF WALIISAMEHE TZ KWASABABU ILIONESHA JITIHADA YA KUPUNGUZA MADENI.
leta ushahidi sio bra bra bra