King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Mkate wowote ukiuacha wazi bila mfuko wa nailoni unakuwa mgumu (unakauka). Otherwise for a quick use ukitoast unapata crumbs.
napenda sana spagheti and meatballs. Asante
napenda sana spagheti and meatballs. Asante
Mbadala wake waweza nunua mikate kama ile boflo sio ile ya slice ya bakhresa unauacha hadi unakua mgumu sana hauliki then unauvunja vunja unapata crumbs....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums