Mbadala wake waweza nunua mikate kama ile boflo sio ile ya slice ya bakhresa unauacha hadi unakua mgumu sana hauliki then unauvunja vunja unapata crumbs....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sijambo mamii nimebadili sim sina namba yako nitumie msg wasap plz ili niiserve
asante naijua kuipika ni nzuri sanaWale wa jikoni mkuje King'asti BAK MziziMkavu utafiti amu Chocs shansarie BHULULU Swts Angel Nylon Heaven on Earth Mrs Kharusy, na wengine
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
miss uasante naijua kuipika ni nzuri sana
mhhh....yummy!!! MashAllah....kisiki nazar na lage! Umejaaliwa farhina, hem nasi tujikaze!
Na baby wetu hajambo?
Shukraan baby hajambo vipi na mkwe wangu nae
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hahaha, mkwe hajambo Alhamdulillah
Shukraan baby hajambo vipi na mkwe wangu nae
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ivi da Faa umepata baby gani? Mi nna baby girl hapa km 2 months ivi. Naona kama hatujapishana?
Wow....mie nna wa 1 month baby girl pia...maashallah habibty hongera sana na ka bany allah amjaalie awe miongoni mwa siratwal mustakin
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Amiin. Nawe wa kwako pia. Hongera mamii. Allah atuwekee
mmmh!tupeane mialiko tu,