Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

Akubaliwe kuingia cdm, lakini asipewe nafasi yoyote ya kugombea hadi ipite miaka minne akiwa bado cdm. Huu mchezo wa wanaccm kuhamia CDM wakishaona kukubalika kwa wananchi, ndio uliwaponza sana CDM kipindi cha dhalimu, maana 90%+ ya walioenda kuunga juhudi ni waliokuwa wanaccm hapo awali. Hawana msimamo wowote hao wanaccm, na nirahisi kurubuniwa na chama chao cha zamani kisha kuihujumu CDM.
 
Umechelewa sana kuleta hii taarifa
.. timu ya uenezi huko Chadema imelala sana!
 
Hizi dalili za kuhama kwa Wana CCM zinatoa ujumbe kwamba CCM ya sasa ni Sawa na meli inayoelekea kuzama kwa hiyo watu wanaruka kujinusuru. Kama CCM wanapuuza basi muda utasema. Na Bado wengine wengi watahama
 
Siyo habari hiyo, mtu mmoja kuhamia chadema ndo unaanzisha uzi? Kuna Mashinji, Nassari, Katambi nk walihamia Ccm. Hakuna cha ajabu hapo.
 
Zilipendwa.Chadema Chukueni watu ambao sio liability
 
Wew ni CDM usiye akili kbs chama ni cha watu wote, sasa wasipohamia huko wengine ndiyo kitakuwa chama gani sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…