Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Acha kupamia post bila kuzielewa, ni wapi nimesema asihamie mtu yoyote CDM? Nimesema toka mstari wa mwanzo kabisa, wapokelewe lakini wasipatiwe vyeo bila muda maalum wa assessment. Sio mtu anahamia CDM ili apate cheo, kisha ikitokea mtikisiko kidogo tu anarudi CCM, tena kwa lugha za kuchafua haiba ya chama. Na ushahidi wa lugha za waliohama CDM baada ya kuja kwa mwendo wa vodafasta upo.Wew ni CDM usiye akili kbs chama ni cha watu wote, sasa wasipohamia huko wengine ndiyo kitakuwa chama gani sasa