Acha kupamia post bila kuzielewa, ni wapi nimesema asihamie mtu yoyote CDM? Nimesema toka mstari wa mwanzo kabisa, wapokelewe lakini wasipatiwe vyeo bila muda maalum wa assessment. Sio mtu anahamia CDM ili apate cheo, kisha ikitokea mtikisiko kidogo tu anarudi CCM, tena kwa lugha za kuchafua haiba ya chama. Na ushahidi wa lugha za waliohama CDM baada ya kuja kwa mwendo wa vodafasta upo.Wew ni CDM usiye akili kbs chama ni cha watu wote, sasa wasipohamia huko wengine ndiyo kitakuwa chama gani sasa
Chama cha majizi ya kura ndio kina muda wa kununua watu, CDM unakuja kufuata mvuto.Chadema wamemnunua shs ngapi huyo mbunge?
Uwe na shukurani. Kama kupitia yeye anaweza kutwaa Jimbo basi hakuna sababu ya kulipoteza Jimbo kwa sababu ya chuki za kihistoria. Hapa ndipo tunafeli wakati mwingine. Nongwa tupa kule kisha songa mbeleAkubaliwe kuingia cdm, lakini asipewe nafasi yoyote ya kugombea hadi ipite miaka minne akiwa bado cdm. Huu mchezo wa wanaccm kuhamia CDM wakishaona kukubalika kwa wananchi, ndio uliwaponza sana CDM kipindi cha dhalimu, maana 90%+ ya walioenda kuunga juhudi ni waliokuwa wanaccm hapo awali. Hawana msimamo wowote hao wanaccm, na nirahisi kurubuniwa na chama chao cha zamani kisha kuihujumu CDM.
CDM ni chama pendwa nchini na always viongozi wake wanaongea UKWELI, uongo ni ushetani mkubwa hapa dunianiTaarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.
Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu .
View attachment 2732934
TOA MAONI YAKO
Kwahiyo ziara yote hiyo kwa nchi nzima ni kutafuta tu wanachama wa kawaida? Lazima tukubali kwamba CDM haina watu wa kutosha kufaa kuwa viongozi kwa nchi nzima. Tukiendekeza chuki tutarudi kule kule ambapo CDM inakuwa na Wabunge wachache wazuri mno na kukosa Wabunge wengi wenye uwezo.Acha kupamia post bila kuzielewa, ni wapi nimesema asihamie mtu yoyote CDM? Nimesema toka mstari wa mwanzo kabisa, wapokelewe lakini wasipatiwe vyeo bila muda maalum wa assessment. Sio mtu anahamia CDM ili apate cheo, kisha ikitokea mtikisiko kidogo tu anarudi CCM, tena kwa lugha za kuchafua haiba ya chama. Na ushahidi wa lugha za waliohama CDM baada ya kuja kwa mwendo wa vodafasta upo.
Maana kwanza wana majina mawili🤣🤣uwekezaji mpya siyo?kina rosemary wengi ni wajanja janja
Ohoooo mnunuaji kutoka kile chama X,hawezi kununua tena wabunge na hatakuja kuwa na uwezo huo, CDM hawana sera za ununuaji, ni sera ya Lumumba partyChadema wamemnunua shs ngapi huyo mbunge?
Hatutaki watu vigeugeu ambao wanakigharimu chama na kukipotezea haiba kwa umma. Tunataka wingi wenye msimamo, sio wingi wa watu vigeugeu.Uwe na shukurani. Kama kupitia yeye anaweza kutwaa Jimbo basi hakuna sababu ya kulipoteza Jimbo kwa sababu ya chuki za kihistoria. Hapa ndipo tunafeli wakati mwingine. Nongwa tupa kule kisha songa mbele
Well said hata mimi sina imani nayeAkubaliwe kuingia cdm, lakini asipewe nafasi yoyote ya kugombea hadi ipite miaka minne akiwa bado cdm. Huu mchezo wa wanaccm kuhamia CDM wakishaona kukubalika kwa wananchi, ndio uliwaponza sana CDM kipindi cha dhalimu, maana 90%+ ya walioenda kuunga juhudi ni waliokuwa wanaccm hapo awali. Hawana msimamo wowote hao wanaccm, na nirahisi kurubuniwa na chama chao cha zamani kisha kuihujumu CDM.
Ataweza mapambano amezoea vya kunyonga?Hii ndiyo habari mpya ya operasheni +255
Is it worthy? asije kuwa kama akina lembeni, Mwita and many others!
View attachment 2732941
Hawezi.......Ataweza mapambano amezoea vya kunyonga?
Ana ushawishi huyo dada?Hizi dalili za kuhama kwa Wana CCM zinatoa ujumbe kwamba CCM ya sasa ni Sawa na meli inayoelekea kuzama kwa hiyo watu wanaruka kujinusuru. Kama CCM wanapuuza basi muda utasema. Na Bado wengine wengi watahama
Wasimpe uongozi kwanza wawe naye makiniHawezi.......
Leo hiyooo..!!!Low hanging fruits 🍌
Hatutaki wingi mbovu, tunataka wingi wenye ubora, ni bora wachache wenye ubora, kuliko wingi mbovu. Ni nani amekudanganya kuwa CDM haina watu wengi wenye uwezo wa uongozi? Kwa taarifa yako watu wengi sana wana uwezo wa kuwa viongozi, ila mifumo mibovu ya kupata viongozi ndio inayopelekea watu hao wazuri kuwa nje ya uongozi, na badala yake wanaingia wezi, waongo, wafitini, na incompetence kwani hao ndio wanawezana na mifumo mibovu.Kwahiyo ziara yote hiyo kwa nchi nzima ni kutafuta tu wanachama wa kawaida? Lazima tukubali kwamba CDM haina watu wa kutosha kufaa kuwa viongozi kwa nchi nzima. Tukiendekeza chuki tutarudi kule kule ambapo CDM inakuwa na Wabunge wachache wazuri mno na kukosa Wabunge wengi wenye uwezo.
Pokea watu wenye uwezo ili CCM ikae pembeni. Ubinafsi na kudeka hapana
Bei ni kama ya ccm walivyowanunua wa upinzaniChadema wamemnunua shs ngapi huyo mbunge?
Na huyu kahamia kimkakati, wakimnyima tu ubunge utashangaa kabla ya kampeni kuanza kesharudi CCM. Sijui kwanini hatujifunzi, then huyu yupo nje ya siasa tokea JPM kaingia so she's a liability, hana mtaji wa watu kabisa.Akubaliwe kuingia cdm, lakini asipewe nafasi yoyote ya kugombea hadi ipite miaka minne akiwa bado cdm. Huu mchezo wa wanaccm kuhamia CDM wakishaona kukubalika kwa wananchi, ndio uliwaponza sana CDM kipindi cha dhalimu, maana 90%+ ya walioenda kuunga juhudi ni waliokuwa wanaccm hapo awali. Hawana msimamo wowote hao wanaccm, na nirahisi kurubuniwa na chama chao cha zamani kisha kuihujumu CDM.
Walihamia CCM au walifuata vyeo? CDM wengi wanafuata siasa maana hakuna vyeo vya kupatia ulaji.Siyo habari hiyo, mtu mmoja kuhamia chadema ndo unaanzisha uzi? Kuna Mashinji, Nassari, Katambi nk walihamia Ccm. Hakuna cha ajabu hapo.
Kabisa, watu wa aina hiyo wanahamia CDM ili kutingisha kiberiti kwa CCM yao. Kisha baada ya muda hurubuniwa kurudi CCM na kuishia kuchafua haiba ya chama. Apokelewe sawa, ila kazi yake iwe ni kubeba briefcase za viongozi na sio kupewa cheo chochote. Akitaka cheo aende ACT, CUF, ama aanzishe chama chake.Na huyu kahamia kimkakati, wakimnyima tu ubunge utashangaa kabla ya kampeni kuanza kesharudi CCM. Sijui kwanini hatujifunzi, then huyu yupo nje ya siasa tokea JPM kaingia so she's a liability, hana mtaji wa watu kabisa.
Mungu Ibariki CHADEMA ila tuwe makini na makapiTaarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA.
Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu .
View attachment 2732934
TOA MAONI YAKO