A
Anonymous
Guest
Wilaya ya Meatu walimu tunakataliwa kujitoa chama cha walimu kujiunga chakuhata wakati chama cha walimu cha wilaya kina fanya mambo ya hovyo mengi.
Kwa mfano, fedha za walimu zinarudi tawini, tumepewa nusu ya pesa tuliyokuwa tunatakiwa kupewa
Kwa mfano, fedha za walimu zinarudi tawini, tumepewa nusu ya pesa tuliyokuwa tunatakiwa kupewa