Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Tatizo unachambua ukiwa kada mwenye kutetea chochote cha serikali.Pia mtu akisoma vema atagundua unatafuta ama kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali au angalau kuteuliwa kuwa katika timu ya Abbas.
Kabendela hana hamu na mtu huyu!
Baada ya uchaguzi, Msigwa ajiandae kukabidhi ofisi.
Pana hili bandiko:

View attachment 1597410

Tokea kwenye uzi huu:

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ni toleo jipya la Magufuli with all bugs fixed, mpeni kura zenu

Ushauri wa bure, ni vyema kujiridhisha watanzania wote si wajinga kihivyo.
 
Waliyoandika Mabeberu hapa ni kweli tupu.Pasco analijua hilo.Hii ni namna Pasco ameamua kutuletea hii habari hapa kwa namna ambayo anajitahidi kukwepa lawama .Anajikosha kwa watawala.Yote kwa yote Bwana Mayalla Asante kwa kutuletea hii habari yenye ukweli 100%
 
hizo ni kelele tu za kampeni.Tatizo hao wapiga kampeni wa nje wa Lisu sio wapiga kura
Litapita tu na hilo na kelele zao
 
Pascal ukianza analysis, utuambie thematically unaelewa nini pale unapomtafta mtu kuhusu jambo fulani alafu akakataa kukupa ushirikiano?

Pia utuambie Mtukufu kashinda uchaguzi upi? Na uliofanyika lini?

Najua changamoto za maisha ndizo zinafanya ujitahidi kusifia ukiwaza uteuzi siyo mbaya. Lakini tambua ukipata huo uteuzi uwezo utashuka hadi hutaweza kujibu hoja kama unavyojaribu kufanya sasa maana akili yako itakuwa imenunuliwa na kuwekwa kwenye makabati yao mkuu.
 
Wewe tokea lini ukawa mchambuzi wa habari? Na je uchambuzi wako hautokuwa bias kutokana na ukweli kuwa wewe ni muumini wa Magufuli na mwanachama mtiifu wa CCM?

Je wewe ni msemaji wa serikali au msemaji wa CCM kwamba ukanushe? Kama wahusika wametulia hawajalalamika basi ujue kilichoandikwa ni kweli wao wamekosa jinsi ya kujitetea
 
Another one of jiwe’s puppets. Ulianza kujifanya neutral ili upate followers alafu siku hizi unaonyesha your true colors. Umejaza propaganda kwenye posts zako zote. It’s a waste of time ngoja nikuongeze kwenye ignore list. Leo nimeamini kale kamsemo nenda kapokee buku saba.
 
Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.

Karibuni
Mimi naanza na haya:
1. Fatma Karume was sacked because of professional misconduct. Her sacking has nothing to do with her political activism.

2. If Tanzanians decide to give Magufuli a second term by electing him ( which I believe Tanzanians are going to do on 28th), It is stupid to think that Magufuli's second term will erode Tanzania's democratic norms unless democracy has another meaning unknown to us.

3. I urge the house, among its first business, to look into scrapping the presidential term limit as it is an undemocratic and unconstitutional provision in our constitution.
 
Watanzania hawawezi mpa kura punguani wa chama cha Mbowe. Huyu kibaraka, wakala wa beberu hana chochote cha kuwasaidia watanzania. Mungu tuepushe na hili balaa la saccos, watauza watanzania hawa pamoja na rasilimali zetu.
 
andiko tumelisoma.lipo vizuri.hujaeegemea upande wowote.Hongera Mayala kwa uchambuzi wa kina.
this cheapest propaganda by medias historical all point to chaos.Miaka yote hizi chokochoko za vyombo vya nje ujue wana maslahi wanayataka.
sisi hatutaki mfano wa Libya.tunaipend amani.
 
Uchaguzi uwe huru na wazi ili kuwakomesha pia ikiwezekana upinzani ndo wapewe jukumu la kuhesabu kura ili wasiwe na kisingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…