Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kabendela hana hamu na mtu huyu!Tatizo unachambua ukiwa kada mwenye kutetea chochote cha serikali.Pia mtu akisoma vema atagundua unatafuta ama kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali au angalau kuteuliwa kuwa katika timu ya Abbas.
Baada ya uchaguzi, Msigwa ajiandae kukabidhi ofisi.
Pana hili bandiko:
View attachment 1597410
Tokea kwenye uzi huu:
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ni toleo jipya la Magufuli with all bugs fixed, mpeni kura zenu
Ushauri wa bure, ni vyema kujiridhisha watanzania wote si wajinga kihivyo.