Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Watanzania hawawezi mpa kura punguani wa chama cha Mbowe. Huyu kibaraka, wakala wa beberu hana chochote cha kuwasaidia watanzania. Mungu tuepushe na hili balaa la saccos, watauza watanzania hawa pamoja na rasilimali zetu.
Apangacho Mungu binadamu hawezi tengua
 
Wewe pia ni mzushi huna tofauti nao.

Wewe kwani ni wapi umepata uhakika CCM itashinda kwa kishindo kama ulivyoandika?
Hilo ndio swali ambalo hata mimi nimejiuliza na kubaki kumshangaa huyu jamaa.

Kingine,mbona hata CCM husema watashinda(kina Polepole) na huyu Pascal hajawahi kuhoji hilo!.Kwa kifupi, Pascal ni mtu mnafiki na hatari sana!
 
Mayalla jitu zma kabisa linafanya vitu "mavi? kama ya watoto wadogo
 
Kuna shida kwa Mayalla
Shida IPO mark my worlds
Kama hakuna sababu ingine, hii pekee ni sababu tosha ya kunifanya niiogope CCM kama ukoma. Inaharibu fikra na ubongo wa mtu. Classic examples: Polepole na Kabudi.
 
hivi mayalla kakutwa na nini siku hizi mbona unapingwa sana.... Nahisi kuna mahali umepotea sio kwa negative hizi wanazo kugea wananzengo duh😀😀
 
Paschal tuanzia hapa kwanza,
Dunian hakuna hicho mnachokiita ubeberu,hizo Ni propaganda za serikali za kijamaa kuwahadaa wananchi wake.
Juzi alivyokuja balozi wa USA kuanza kazi Jpm alisema yeye ndio aliandika barua white house kumkumbusha bwana Trump kuwa hana ubalozi kwa 4 years.
Akaongeza kuwa USA ni mdau wa maendeleo Tz .
Iweje mdau wa maendeleo tuliemuomba aletwe awe beberu tena?
 
Paschal tuanzia hapa kwanza,
Dunian hakuna hicho mnachokiita ubeberu,hizo Ni propaganda za serikali za kijamaa kuwahadaa wananchi wake.
Juzi alivyokuja balozi wa USA kuanza kazi Jpm alisema yeye ndio aliandika barua white house kumkumbusha bwana Trump kuwa hana ubalozi kwa 4 years.
Akaongeza kuwa USA ni mdau wa maendeleo Tz .
Iweje mdau wa maendeleo tuliemuomba aletwe awe beberu tena?
 
Mkuu Pascal Mayalla, pole sana kwa kuguswa na hao Mabeberu baada ya kumtuhumu Mwenyekiti wako kuiendesha Nchi Kidikteta!

Uzuri hata wewe mwenyewe ukweli unao moyoni mwako. Na mifano ni mingi sana inayodhihilisha wazi ya kwamba Mwenyekiti wako ana tabia na hulka zote za Kidikteta. Kuanzia ndani ya chama na hata katika namna anavyo iendesha Nchi.

Kuhusu kujisifia kwako kuwa mchambuzi, hiyo ilikua hapo kabla. Hata mimi nakuunga mkono kwa hilo. ULIKUWA MCHAMBUZI! Ila kwa sasa huwezi tena kuwa Mchambuzi unaye aminika baada ya kuwa Mwanachama wa CCM,chama ambacho Wafuasi/Wanachama wake huamini katika Unafiki ili maisha yao ya kila siku yasonge.

Huna ujasiri tena wa kusimamia UKWELI. Zaidi utakuja na uchambuzi wa KINAFIKI kama huu ili tu uonekane na mwisho wa siku upate UTEUZI ingawa na umri nao umekutupa.
 
Neno Mabeberu ni nadharia ya watu waliosoma zamani silabasi za zamani zilipandikiza chuki na malawama ya kuwatupia wengine mzigo wa lawama pale watawala waliposhindwa kuwaletea maendeleo wananchi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…