Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Watanzania hawawezi mpa kura punguani wa chama cha Mbowe. Huyu kibaraka, wakala wa beberu hana chochote cha kuwasaidia watanzania. Mungu tuepushe na hili balaa la saccos, watauza watanzania hawa pamoja na rasilimali zetu.
Apangacho Mungu binadamu hawezi tengua
 
Wewe pia ni mzushi huna tofauti nao.

Wewe kwani ni wapi umepata uhakika CCM itashinda kwa kishindo kama ulivyoandika?
Hilo ndio swali ambalo hata mimi nimejiuliza na kubaki kumshangaa huyu jamaa.

Kingine,mbona hata CCM husema watashinda(kina Polepole) na huyu Pascal hajawahi kuhoji hilo!.Kwa kifupi, Pascal ni mtu mnafiki na hatari sana!
 
Another one of jiwe’s puppets. Ulianza kujifanya neutral ili upate followers alafu siku hizi unaonyesha your true colors. Umejaza propaganda kwenye posts zako zote. It’s a waste of time ngoja nikuongeze kwenye ignore list. Leo nimeamini kale kamsema nenda kapokee buku saba.
Mayalla jitu zma kabisa linafanya vitu "mavi? kama ya watoto wadogo
 
hivi mayalla kakutwa na nini siku hizi mbona unapingwa sana.... Nahisi kuna mahali umepotea sio kwa negative hizi wanazo kugea wananzengo duh😀😀
 
Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.

Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!.

Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume,

Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?!.

Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.

Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.

Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake...

Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...

World Politics Review

President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission
President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).

Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’​

Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020

Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.

Karibuni
Paschal tuanzia hapa kwanza,
Dunian hakuna hicho mnachokiita ubeberu,hizo Ni propaganda za serikali za kijamaa kuwahadaa wananchi wake.
Juzi alivyokuja balozi wa USA kuanza kazi Jpm alisema yeye ndio aliandika barua white house kumkumbusha bwana Trump kuwa hana ubalozi kwa 4 years.
Akaongeza kuwa USA ni mdau wa maendeleo Tz .
Iweje mdau wa maendeleo tuliemuomba aletwe awe beberu tena?
 
Mkuu Pascal Mayalla, pole sana kwa kuguswa na hao Mabeberu baada ya kumtuhumu Mwenyekiti wako kuiendesha Nchi Kidikteta!

Uzuri hata wewe mwenyewe ukweli unao moyoni mwako. Na mifano ni mingi sana inayodhihilisha wazi ya kwamba Mwenyekiti wako ana tabia na hulka zote za Kidikteta. Kuanzia ndani ya chama na hata katika namna anavyo iendesha Nchi.

Kuhusu kujisifia kwako kuwa mchambuzi, hiyo ilikua hapo kabla. Hata mimi nakuunga mkono kwa hilo. ULIKUWA MCHAMBUZI! Ila kwa sasa huwezi tena kuwa Mchambuzi unaye aminika baada ya kuwa Mwanachama wa CCM,chama ambacho Wafuasi/Wanachama wake huamini katika Unafiki ili maisha yao ya kila siku yasonge.

Huna ujasiri tena wa kusimamia UKWELI. Zaidi utakuja na uchambuzi wa KINAFIKI kama huu ili tu uonekane na mwisho wa siku upate UTEUZI ingawa na umri nao umekutupa.
 
Neno Mabeberu ni nadharia ya watu waliosoma zamani silabasi za zamani zilipandikiza chuki na malawama ya kuwatupia wengine mzigo wa lawama pale watawala waliposhindwa kuwaletea maendeleo wananchi wao.
 
Back
Top Bottom