Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Poor PASCAL
 
Rubbish! I no longer waste my time and MBs on Mayalla's rubbish posts!
Rais aliposema siku ile Ikulu (2016) Mayalla maanake ni njaa wengi hatukumwelewa, alimaanisha huyu jamaa njaa inamsumbua sn na kweli sasa hivi ameshindwa kujificha kuwa ananjaa tena kali sn, hana mvuto tena kama zamani imebaki aibu tupu.
 
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS
 
Rais aliposema siku ile Ikulu (2016) Mayalla maanake ni njaa wengi hatukumwelewa, alimaanisha huyu jamaa njaa inamsumbua sn na kweli sasa hivi ameshindwa kujificha kuwa ananjaa tena kali sn, hana mvuto tena kama zamani imebaki aibu tupu.
amebaki kuwa kichekesho kwa jamii ya wasomi!
 
Tell a lie once, and all your truths become questionable.......
 
Huenda ukakumbukwa kwenye uteuzi kama Ccm ikishinda, hivyo usikate tamaa endelea kuwapigania.
 
Totally rubbish.!

Hivi wewe Pascal Mayalla kwa uchambuzi huo bado unajiita mwadishi wa habari?

Mke wako anajua kwamba unatumia nguvu nyingi kuandika pumba' kiasi hiki?
Naanza kuona DON Namilison Ni nafuu kuliko wewe mchumia tumbo @pascally mayalla unayeidhalilisha kada ya Journalism!
 
Nilishasema hapo awali kwamba kuna kikundi cha Watanzania wenzetu wameingia kwenye siasa kama fursa ya kutoka kimaisha.

Hawajali madhila ya upuuzi wanaoufanya kwa nchi yetu.

CHADEMA soon kinageuka kuwa chama cha kigaidi kwa sababu kinapuuzia na kuvunja sheria za nchi
 
wakubwa washasema wakati wa kula hupaswi kuzungumzia,umesikia Yuda Eskalioti?
 
Tatizo unachambua ukiwa kada mwenye kutetea chochote cha serikali.Pia mtu akisoma vema atagundua unatafuta ama kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali au angalau kuteuliwa kuwa katika timu ya Abbas.
Laana ya kifo cha Mama yake Eric Kabendera inamtafuna huyu Mhutu
 
Hilo ndio swali ambalo hata mimi nimejiuliza na kubaki kumshangaa huyu jamaa.

Kingine,mbona hata CCM husema watashinda(kina Polepole) na huyu Pascal hajawahi kuhoji hilo!.Kwa kifupi, Pascal ni mtu mnafiki na hatari sana!
Katika kipindi hiki cha msimu wa uchaguzi wapo baadhi ya waandishi au vyombo vya habari nchini, hutumika kama leso, leso ni miongoni mwa kitu muhimu katika kutoa uchafu mwilini ili uonekane msafi,

Hivyo, uchaguzi mkuu wa Oktoba baadhi ya wanasiasa, wanahabari na vyombo vyao ni msimu mzuri wa mavuno kwa kupitia migongo ya wanasiasa ambao wana uchu wa madaraka

Lakini pia ni wakati mwafaka kwa baadhi ya waandishi kutumia kalamu zao kwa kuwapotosha, kuwatia khofu au kuwatisha wasomaji ili mradi watimize yale ambayo wametumwa na anayewalipa,

Ukitaka kulijua hilo nenda kwa muuza magazeti asubuhi angalia vichwa vya habari, sikiliza Radio zetu na TV stations zilizokwisha kufanya biashara utauona ukweli wa kwamba uchaguzi ni fursa ya Mavuno kwa waandishi,

Anachokifanya Pascal sio kitu kigeni bali anajaribu kutumia mbinu za hadaa vile vile kama Salva alivyofanya na mwisho wa safari akawa Mkurugenzi pale Magogoni kwa mbwembwe nyingi tu lakini walipoingia aliowafitini Salva alitolewa kama kibaka fulani na hakuna hata mwandishi mmoja aliyenung'unika kwani walijua mchezo mchafu alioufanya huko nyuma

(Wakati wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka 2005, Salva uwa ni miongoni mwa waandishi waliokuwa wakiandika makala mbalimbali zinazoingia kwa undani katika kuwachambua wagombea wa kiti hicho.)
 
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama..
Mkuu, wasipokuona safari hii basi mkuu utakuwa una gundu maana hata waliokumbukwa huko nyuma hawakufanya kazi kubwa kama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…