Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor PASCALWanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.
Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!.
Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume,
Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?!.
Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.
Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.
Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake...
Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...
President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).![]()
Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’
Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020
Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.
Karibuni
Rais aliposema siku ile Ikulu (2016) Mayalla maanake ni njaa wengi hatukumwelewa, alimaanisha huyu jamaa njaa inamsumbua sn na kweli sasa hivi ameshindwa kujificha kuwa ananjaa tena kali sn, hana mvuto tena kama zamani imebaki aibu tupu.Rubbish! I no longer waste my time and MBs on Mayalla's rubbish posts!
Anataka akawe msaidizi wa Abass yule kipara ambaye hajielewiMayalla siku hizi umekuwaje... unajipendekeza saana,, mpaka unachanganyikiwa
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUSWanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.
Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!.
Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume,
Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?!.
Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.
Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.
Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake...
Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...
President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).![]()
Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’
Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020
Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.
Karibuni
amebaki kuwa kichekesho kwa jamii ya wasomi!Rais aliposema siku ile Ikulu (2016) Mayalla maanake ni njaa wengi hatukumwelewa, alimaanisha huyu jamaa njaa inamsumbua sn na kweli sasa hivi ameshindwa kujificha kuwa ananjaa tena kali sn, hana mvuto tena kama zamani imebaki aibu tupu.
Tell a lie once, and all your truths become questionable.......Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.
Nilishasema hapo awali kwamba kuna kikundi cha Watanzania wenzetu wameingia kwenye siasa kama fursa ya kutoka kimaisha.Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.
Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!
Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume.
Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?
Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.
Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.
Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake.
Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...
![]()
President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’
Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020
Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.
Karibuni
Huko kwenu si kuna wasomi sasa hao wajinga wa kujaza form wanatoka wapi?Anayesababisha yote hayo ni tume ya uchaguzi.wametunga kanuni za hovyo sana.unamuenguaje mgombea kwa kukosea kujaza fomu?
wakubwa washasema wakati wa kula hupaswi kuzungumzia,umesikia Yuda Eskalioti?Wanabodi,

Laana ya kifo cha Mama yake Eric Kabendera inamtafuna huyu MhutuTatizo unachambua ukiwa kada mwenye kutetea chochote cha serikali.Pia mtu akisoma vema atagundua unatafuta ama kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali au angalau kuteuliwa kuwa katika timu ya Abbas.
Katika kipindi hiki cha msimu wa uchaguzi wapo baadhi ya waandishi au vyombo vya habari nchini, hutumika kama leso, leso ni miongoni mwa kitu muhimu katika kutoa uchafu mwilini ili uonekane msafi,Hilo ndio swali ambalo hata mimi nimejiuliza na kubaki kumshangaa huyu jamaa.
Kingine,mbona hata CCM husema watashinda(kina Polepole) na huyu Pascal hajawahi kuhoji hilo!.Kwa kifupi, Pascal ni mtu mnafiki na hatari sana!
Mkuu, wasipokuona safari hii basi mkuu utakuwa una gundu maana hata waliokumbukwa huko nyuma hawakufanya kazi kubwa kama yako.Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama..