Be truthful, the truth shall set you free!Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena...
kama munaweza kusaisha munajua right neno kutumia am happy then.Hata kiswahili shida. kaandika mamlaka isifikilie!
Light travels faster than sound, do you know that?!kama munaweza kusaisha munajua right neno kutumia am happy then.
The message is well understood sidhani will make any change on content delivered.kidhungu changu kipo poa saaaana kuliko bosi wenu Enterpruuuunuaasheepe sawa???
Light travels faster than sound, do you know that?!
Whats your level of argument ? kama you have a strong command of language nafikili you should get hired ikulu to drain a swamp from your boss's head ili awe kama nyie.Unajidanganya kama unaamini kabisa kichwani mwako kwamba unajua english language kwani hata baada ya kurudia tena bado kuna makosa ya kigrammar , ...
Whats your level of argument ? kama you have a strong command of language nafikili you should get hired ikulu to drain a swamp from your boss's head ili awe kama nyie.
Hata boss wako hajuwi kwanza ni Phd holder mbona you dont block him wakati anajidangaya anakijuwa??shameless wapambeBado unafanya makosa kwa kila sentensi ya Kiingereza unayaoandika, lkn bado ni mbishi na kujidanganya kwamba unajua english language, isistoshe wala huhitaji kujua english sana kujua kwamba wewe haujui english language, ...
Hata boss wako hajuwi kwanza ni Phd holder mbona you dont block him wakati anajidangaya anakijuwa??shameless w
Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena....
"On behalf of myself and peoples of republic of Tanzania" hapo vipi nimepatia Mwalimu?????Lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe haujui english language na kwamba unajidanganya unajua, ni bora urudi kujifunza kuliko kuendelea kujidanganya, ...
Sawa poti.Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama
Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.
Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!
Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume.
Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?
Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.
Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.
Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake.
Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...
President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’
Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020
Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.
Karibuni.
Kabla ya yote fafanua kwanza BEBERU ni nani?Wanabodi,

Karibuni
Mabeberu ni mambuzi dume emekaaje hapo inamaana sisi ni mambuzi jikeWanabodi,

Paskali