Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena...
Be truthful, the truth shall set you free!
 
The message is well understood sidhani will make any change on content delivered.kidhungu changu kipo poa saaaana kuliko bosi wenu Enterpruuuunuaasheepe sawa???

Unajidanganya kama unaamini kabisa kichwani mwako kwamba unajua english language kwani hata baada ya kurudia tena bado kuna makosa ya kigrammar , ...
 
Light travels faster than sound, do you know that?!

Unajidanganya kama unaamini kabisa kichwani mwako kwamba unajua english language kwani hata baada ya kurudia tena bado kuna makosa ya kigrammar , ...
Whats your level of argument ? kama you have a strong command of language nafikili you should get hired ikulu to drain a swamp from your boss's head ili awe kama nyie.
 
Paskali kabandika na kuandika
  1. The opposition firebrand is running to replace incumbent President John Magufuli in a general election later this month; he has been on the campaign trail since late August, drawing massive crowds at each stop- Hapa hawa mabeberu wanasema eti upinzani unakwenda kushinda uchaguzi huu, CCM inakwenda kushindwa na Magufuli, anawekwa kando, eti Tundu Lissu ndio anakwenda kushinda!. Kipimo pekee cha ushindi wa Upinzani wanachotumia mabeberu hawa, ni makundi ya watu wanamshangilia Tundu Lissu katika mikutano yake ya kampeni!. Swali la kujiuliza hapa,ni tangu lini umati wa kampeni ndio kigezo cha ushindi wa kura?. Uchaguzi wa 2015, mimi nilimshabikia Lowassa, amini nakuambia, katika mikutano yote ya Lissu, zijawahi kuona hata nusu tuu ya nyomi ya EL, na bao alipigwa chini!. Hili la nyomi, nililizungumza hapa Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu na hapa Elections 2015 - Hii 'Vox Populi' ni 'Vox Dei' Kuhusu 'Jiwe Walilolikataa Waashi'?
Tafsiri ya msingi ya Paskalli nimeiwekea rangi. Anachosema hati hawa mabeberu wanasema SI KWELI."running to replace the incumbent JPM" ni kugombea kumtoa aliyekalia kiti. Hakuna alipo andika kuwa anakwenda kushinda. Ni kweli Lissu anategemea kushinda lakini mwandishi haja andika hivyo.

Kuhusu kipimo cha watu kuwa ndio kina ashiria ushindi-nashangaa tafsiri ya Paskali. Nimemsikia Lissu mwenyewe akisema kila chama kinatumia uwingi wa watu kama dalili ya support (kupendwa) lakini akaeleza kinaga ubaga kuwa uwingi wa watu hauwezi kutafsiriwa kuwa kigezo cha kushinda. Ni wazi pia kama watu hawaji kwenye mikutano yako unajua huna kitu. Sijui kwa nini Paskalli anatulisha matango pori.
 
Whats your level of argument ? kama you have a strong command of language nafikili you should get hired ikulu to drain a swamp from your boss's head ili awe kama nyie.

Bado unafanya makosa kwa kila sentensi ya Kiingereza unayaoandika, lkn bado ni mbishi na kujidanganya kwamba unajua english language, isistoshe wala huhitaji kujua english sana kujua kwamba wewe haujui english language, ...
 
Hata boss wako hajuwi kwanza ni Phd holder mbona you dont block him wakati anajidangaya anakijuwa??shameless wapambe
 
Kumtumbua mtu anaechezea kazi ni udikteta? Na kama hutaki kufanya kazi unakumbushwa kwa lazima! Akuache uendelee kulala? Big up JPM
 
Hata boss wako hajuwi kwanza ni Phd holder mbona you dont block him wakati anajidangaya anakijuwa??shameless w

Lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe haujui english language na kwamba unajidanganya unajua, ni bora urudi kujifunza kuliko kuendelea kujidanganya, ...
 
Wamzushia wakati hata sisitunaona ni dictator?

Yani Rais anasimama jukwaani anasema msipomchagua flani siwaletei maendeleo. Huu ni udictator sababu budget inapangwa na bunge sio Rais.
 
Paskali paskali, mawazo yako bora ubaki nayo huko ccm.
Jiwe ni dikteta hakuna ubishi.

Nchi inaendeshwa na maamuzi ya mtu mmoja kwanini isiwe ya kidikteta, hakuna cha mabeberu maana kama syo hao unaowaita mabebrru hata hiyo keyboard unayotumia kuandika ujinga wako isingekuwepo.

Waafrika akili zetu ni kwenye gijigiji tu, na akipata nafasi basi anatumia udikteta.
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena....
 
Lakini haibadilishi ukweli kwamba wewe haujui english language na kwamba unajidanganya unajua, ni bora urudi kujifunza kuliko kuendelea kujidanganya, ...
"On behalf of myself and peoples of republic of Tanzania" hapo vipi nimepatia Mwalimu?????
 
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.

Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!

Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume.

Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?

Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.

Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.

Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake.

Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...

President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission

President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).

Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’​

Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020

Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.

Karibuni.
Sawa poti.
 
Karibuni
Kabla ya yote fafanua kwanza BEBERU ni nani?
 
Paskali
Mabeberu ni mambuzi dume emekaaje hapo inamaana sisi ni mambuzi jike
 
Mabeberu kazi yao ni kuwapanda mbuzi jike, jiandaeni huku mkibana pua na kusema ni wabia wa maendeleo na wahisani mkisha pokea hela zao mnawaita mabeberu tena.
 
Back
Top Bottom