Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Ukiuliza wafuasi wa Lissu ni kipi kitamfanya Lissu ashinde, watakwambia Lissu ni jasiri sana.

Yani tz kumbe ukiwa jasiri tayari wewe ni Rais
Vipi kuhusu huyo muuwaji wenu ndio anafaa kuwa Raisi hawezi kuongea hata sentensi moja ya kiingereza kilichonyooka japo ni Mwalimu pia ni Phd holder
 
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena...
Mayalla tangia umekuwa KADA umekuwa mpumbavu pumbavu kama vijana wa UVCCM
 
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena...
Paschal wewe kama mwandishi wa habari umeneemeka vipi na awamu hii?
 
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena...
Kwa haya uliyoandika uongo hupo wapi hadi abasi aje akanushe?
 
Your Green brains is not for politics no wonder you was defeated miserably kwenye primary elections wewe lijitu gani unamkosi hata maccm wenzio hawakutaki but unaendelea kujipendekeza?

Msema ukweli ni mpenzi wa mungu ..unatakiwa utubu kwanza ulisababisha kifo cha Kabendere's mother baada yakumchongea kwenye mamlaka isifikilie watanzania wamesahau ndiyo mana nivigumu wewe hata kuteuliwa popote unagundi wewe.
 
Paskali hivi lini mtaongea ukweli? Majuzi tu mmevuruga uwanja na ukurasa wa msemaji mkuu ukapost picha kuaminisha uwanja uko safi! Jana mkaumbuka hali halisi ikajionyesha kwa picha za muda huo!

Hivi kuna haja ya kuwa na wasomi kuheshimiwa tena maana siku hizi hata PhD inakoelekea itakua sio kipimo cha usomi bali ujinga! Yani mtu anaacha kusema ukweli ili bwana mkubwa aone kapewa sifa na hali iko shwari!
 
Wanabodi,

Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo muhimu la kiusalama

Kabla ya hapo, mara kadhaa vyombo vya habari vya kimataifa vya mabeberu, vimekuwa vikiandika makala za uongo na uzushi kuhusu Tanzania zikiwemo kumsema vibaya rais wetu Magufuli ikiwemo kumsingizia kuwa ni dikiteta na anaiendesha Tanzania kidikiteta, na mara zote, uzushi huu huwa haukanushwi, hivyo unaendelea kurudiwa na kurudiwa tena na tena.

Leo nimekutana na makala hii katika mtandao wa kibeberu wa WPR, ambayo iliandikwa October 8 na mwandishi Sofia Naimam, ikizungumzia uchaguzi Mkuu wa Tanzania, Mabeberu hawa, wakaamua kati ya wagombea wote 16 wa urais wa Tanzania, wakaamua kumhoji mgombea mmoja tuu, Tundu Lissu, na akawaambia anakwenda kushinda urais wa Tanzania, na wao wakaamini, hivyo sasa wanaandika makala za kututisha kuwa Tundu Lissu asipotangazwa mshindi, Tanzania hapatakalika!

Watu wengine waliohojiwa kwenye makala hii ni Zitto Kabwe, Robert Amsterdam, Fatma Karume.

Ili mwandishi kubalance story yake, akaandika kuwa amritafuta Ikulu yetu na Tume ya Uchaguzi NEC, wote wamegoma kuzungumza, swali la kujiuliza ni kwanini mabeberu hawa, wazushe kuhusu Tanzania halafu waitafute Ikulu yetu na NEC, wakati the right mtu wa kutafutwa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas?

Kwavile mimi ni mwandishi wa habari, na nina uwezo wa uchambuzi, news analysis, nitawachambulia makala hii kwa kueleza ukweli ni wapi mwandishi kasema kweli, wapi kasema uongo na wapi kaandika uzushi kwenye makala hii katika mtandao huu wa vyombo vya habari vya kibeberu.

Haiwezekani kila siku mabeberu hawa kutuzushia mambo ya uongo na uzushi kuhusu Tanzania na rais wetu, na sisi tunanyamaza tuu na kuunyamazia uongo na uzushi huu, huku tunao waandishi Watanzania wazalendo wenye uwezo wa kuukanusha, na tena ningewaomba Dr. Abbas na timu yake, kuwa more proactive kuzungumza mazuri ya nchi yetu na sio kusubiri watu watunge uongo na uzushi kisha ndio sisi tuje kujibu kwa kuwa reactive, kama ule uzushi wa juzi kati wa BBC Swahili kuhusu madini yetu.

Makala yenyewe ya uzushi ni hii, na chini ina wasifu wa jmwandishi, ila pia, mimi kama mwandishi, naomba pia nimtendee haki mwandishi wa makala hii, kwa kukiri, katika media zetu hapa Tanzania, tuna waandishi wachache sana wa kiwango hiki cha uandishi, na sina uhakika sana kama kwenye wasaidizi wa Dr. Abbas, anao watu wenye uwezo wa kupangua uzushi kama huu, japo namfahamu Dr.Abbasi yeye kama yeye anaweza, ila watu wake.

Kwa wale wenzangu na mimi, wa lugha yetu hii ya madafu, tuishie hapa, maana...

President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission

President John Magufuli hands in his nomination form to the chairman of the National Electoral Commission, in Dodoma, Tanzania, Aug. 25, 2020 (AP photo).

Tanzania’s Opposition Fears Election Violence Because, Lissu Says, ‘We Are Winning’​

Sophie Neiman Thursday, Oct. 8, 2020



Uchambuzi wangu, unafuatia, ili twende pamoja, nitaichambua para moja moja kwa kuonyesha ipi ni kweli, upi ni uongo na upi ni uzushi.


Karibuni
Burazaaa umeneno kweli

Ila hujanipa mwongozo wa kukutana na H.Polepole
 
Your Green brains is not for politics no wonder you was defeated miserably kwenye primary elections wewe lijitu gani unamkosi hata maccm wenzio hawakutaki but unaendelea kujipendekeza??Msema ukweli ni mpenzi wa mungu ..unatakiwa utubu kwanza ulisababisha kifo cha Kabendere's mother baada yakumchongea kwenye mamlaka isifikilie watanzania wamesahau ndiyo mana nivigumu wewe hata kuteuliwa popote unagundi wewe.

Haujui English language, ...
 
Mwambie Meko (Ngosha mwenzio) aache uongo. Hivi tangu lini kitambulisho cha mjasiriamali ukakitumia kuombea mkopo benki?

Watanzania wa sasa sio washamba kama wale wa karne ya 19.
Hata Kadi ya Chama Tawala ambacho ni kitambulisho kamili cha mmiliki maana kina Jina, Namba, Anuani na Muhuri haiwezi kutumika kuombea mkopo benki ingekuwa inakubalika sote tungekuwa wanachama wa CCM.

Kitambulisho cha mjasiriamali hakimtambulishi mmiliki anaitwa nani wala wa wapi bali akiwa nacho mkononi kinamtambulisha kuwa ni mjasiriamali ingawa ameazima au ameiba.

Hii ina maana kikipotea na kikapatikana hakiwezi kufuatiliwa mpaka kwa aliyepotelewa hata kikipelekwa Polisi kwa hiyo kwa mapungufu hayo hakiwezi kuunganisha na cha Taifa.
 
Jpm mwangalie MAYALA NJAA ITAMUUA AMEHANGAIKA SANA MIAKA MITANO YOTE AMETOKA KAPA
Labda aje ampe nafasi ya msemaji wa Chama. Uteuzi kwa utumishi nje ya Chama huyo JPM muda umeisha. Hapo alipo keshaanza kuandaa Statement of Handing over ya ofisi kuu.

Na bora afanye hivyo kwa amani akiheshimu matakwa ya wananchi waliyo amua kwa kura.

Akijifanya mbabe na mjuaji shauri yake!
 
l guess it was typo error sidahani kwa sababu ya" were" tuu moja kwa moja unaniweka kwenye kikundi Cha" No Mothers ,No Fathers,No Uncles, am trying to preach But cant reach you au we are in lait Directions" utakua haunitendei haki mkuu

Siyo kosa moja tu na wala makosa yako siyo ya kiuandishi bali ni uelewa wa grammar wa english language, chukulia hata ulivyoanza sentensi yako nakunukuu ,,Your Green brains is not for politics no wonder you was, ...'' hiyo sentensi haina makosa ya kiuandishi bali ni ya grammar, hivyo bado hata wewe pia haujui english Language, ...
 
Siyo kosa moja tu na wala makosa yako siyo ya kiuandishi bali ni uelewa wa grammar wa english language, chukulia hata ulivyoanza senetensi yako nakukuu ,,Your Green brains is not for politics no wonder you was, ...'' hiyo sentensi haina makosa ya kiuandishi bali ni ya grammar, hivyo bado hata wewe pia haujui english Language, ...
The message is well understood sidhani will make any change on content delivered.kidhungu changu kipo poa saaaana kuliko bosi wenu Enterpruuuunuaasheepe sawa???
 
Back
Top Bottom