Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Soma bandicoot langu hapo juu. AGUSTINO PETER (TINO) kayumba kiuchimi kwa sasa.Ana maanisha nini huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma bandicoot langu hapo juu. AGUSTINO PETER (TINO) kayumba kiuchimi kwa sasa.Ana maanisha nini huyu
Kumbe hawa jamaa hawajaanza junzi kulialia ni katabia kao.Yanga walilalamika uwanja ulikuwa na maji, mtanga,aji wa RTD kanda ya nyanda za juu kusini akawauliza, KWANI MECCO WALIKUWA SAMAKI? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuh inasikitisha aiseeSoma bandicoot langu hapo juu. AGUSTINO PETER (TINO) kayumba kiuchimi kwa sasa.
Huwa nikisoma story za MECCO kwenye mind nawawaza Mabush Stars Jarida la SaniYanga walilalamika uwanja ulikuwa na maji, mtanga,aji wa RTD kanda ya nyanda za juu kusini akawauliza, KWANI MECCO WALIKUWA SAMAKI? 🤣🤣🤣🤣
Ndo maana huwa sitaki kubishana na watoto.Tulioanza kusikiliza mpira kipindi cha Ahmed Jongo hatuna namna
Ndio tulivyokuwa tukiwaita.Huwa nikisoma story za MECCO kwenye mind nawawaza Mabush Stars Jarida la Sani
Sio hicho,,Hiki kikosi si ndiyo kiliikimbia yanga kipindi Cha pili!
Ile ilikua 91 au 92!?..Sio hicho,,
Kulikuwa na kikosi golini Moses Mkandawile na John Bosco /Omar salehe.. goalkeepers
Mwameja /ramadhani leny hawakuwapo kwnye kikosi kile.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app